Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Bunda wapongezwa

WADAU mbalimbali wamelipongeza Jeshi la Polisi wilayani Bunda mkoani Mara kwa kudhibiti majambazi yaliyokuwa yameteka gari la halmashauri ya wilaya hiyo. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati na maeneo tofauti na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Polisi Mpwapwa Wapongezwa Uhalifu kupungua

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Uongozi wa Jeshi la Polisi Wilayani Mpwapwa wakati wa ziara ya kikazi wilayani hapo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiMkuu wa Polisi Wilaya ya Mpwapwa, Mrakibu wa Polisi, Cosmas Mboya, akitoa Taarifa ya Ulinzi na Usalama kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene wakati wa ziara ya kikazi wilayani hapo.
Na Mwandishi Wetu, Mpwapwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameupongeza...

 

5 years ago

Michuzi

Polisi Arusha wapongezwa kupunguza matukio ya uhalifu

Na Gasto Kwirini wa Jeshi la Polisi Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kufanikiwa kupunguza na kudhibiti matukio ya uhalifu hali ambayo imepelekea shughuli za kiuchumi kufanyika kwa amani hasa utalii.

Alitoa pongezi hizo wakati akifungua kikao kazi kilichohusisha Maafisa wa Polisi pamoja na Polisi Kata 157 toka kata zote za Mkoa wa Arusha ambacho kilikua na lengo la kukumbushana wajibu wa Polisi Kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Amesema...

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi la Polisi, JWTZ wapongezwa kazi nzuri

BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga wamepongeza hatua ya awali iliyofikiwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na JWTZ kwenye operesheni maalumu ya kusaka wahalifu pamoja na silaha waliokuwa wamejifisha katika mapango ya Majimoto yaliyopo eneo la Mzizima Amboni, nje kidogo ya mji.

 

9 years ago

StarTV

Polisi wilayani Bunda yamtia mbaroni mwanamke mmoja kwa vitendo vya ukatili

Polisi wilayani Bunda mkoani Mara inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kumchoma moto mtoto wa kaka yake sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri kwa madai ya kuiba mboga chunguni.

Mwanamke anayeshiliwa na Polisi ametambuliwa kwa jina la Jenipher Mtaki mwenye miaka 22 mkazi wa Migungani wilayani Bunda.

Tukio hilo ambalo limetokea desemba 15 mwaka huu, majira ya saa za usiku katika eneo la Migungani mjini Bunda, liligunduliwa na wasamalia wema waliotoa taarifa kwa Rebeca Kibore...

 

9 years ago

Habarileo

Diamond, Vanessa wapongezwa

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) na msanii Ambene Yesaya `AY’ wamewapongeza wasanii wa muziki wa kizazi kipya walioshinda tuzo mbalimbali kwenye Tuzo za African Music Magazine Awards (AFRIMMA) zilizofanyika jijini Dallas, Marekani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi CHADEMA wapongezwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepongezwa kutokana na kuonyesha ukomavu wa kisiasa katika chaguzi zake huku ikiikataa rushwa kwa vitendo bila kuhofu kupoteza wanachama. Akizungumza na Tanzania Daima jana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumo wa BVR wapongezwa

Kazi ya kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometrick Voters Registration (BVR), ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, jana iliingia siku ya tatu, huku baadhi yao wakipongeza utendaji wake.

 

9 years ago

Habarileo

Usitishwaji sherehe uhuru wapongezwa

UTENDAJI wa Rais John Magufuli unaendelea kuwavutia watu wengi na hatua yake ya kufuta shamrashamra za sikukuu ya Uhuru, imepongezwa kuwa itaokoa fedha za walipa kodi, huku watendaji wa serikali wakianza kutekeleza agizo la kufanya usafi siku hiyo ili kukabiliana na kipindupindu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa Tuimarishe Afya wapongezwa

MRADI wa Health Promotion and System Strengthening (HPSS), ambao pia unajulikana kama ‘Tuimarishe Afya Project’ unaofadhiliwa na serikali ya Uswisi, umepongezwa kwa kuwa moja ya miradi saidizi katika kuimarisha afya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani