Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Mpwapwa Wapongezwa Uhalifu kupungua

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Uongozi wa Jeshi la Polisi Wilayani Mpwapwa wakati wa ziara ya kikazi wilayani hapo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiMkuu wa Polisi Wilaya ya Mpwapwa, Mrakibu wa Polisi, Cosmas Mboya, akitoa Taarifa ya Ulinzi na Usalama kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene wakati wa ziara ya kikazi wilayani hapo.
Na Mwandishi Wetu, Mpwapwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameupongeza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yajivunia kupungua uhalifu Rukwa

MATUKIO ya mauaji ya kikatili  yanayosababishwa  na  imani  za kishirikina  mkoani Rukwa  yamepungua hadi  kufikia matukio 30 kwa kipindi cha mwaka jana ukilinganisha  na matukio 37 yaliyoripotiwa mwaka  2012. Kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Polisi Arusha wapongezwa kupunguza matukio ya uhalifu

Na Gasto Kwirini wa Jeshi la Polisi Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kufanikiwa kupunguza na kudhibiti matukio ya uhalifu hali ambayo imepelekea shughuli za kiuchumi kufanyika kwa amani hasa utalii.

Alitoa pongezi hizo wakati akifungua kikao kazi kilichohusisha Maafisa wa Polisi pamoja na Polisi Kata 157 toka kata zote za Mkoa wa Arusha ambacho kilikua na lengo la kukumbushana wajibu wa Polisi Kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Amesema...

 

11 years ago

Mwananchi

Karibu IGP Mangu, tunasubiri uhalifu kupungua

>Juzi, Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete, alimwapisha Ernest Mangu kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) akichukua nafasi iliyoachwa na Said Mwema ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Bunda wapongezwa

WADAU mbalimbali wamelipongeza Jeshi la Polisi wilayani Bunda mkoani Mara kwa kudhibiti majambazi yaliyokuwa yameteka gari la halmashauri ya wilaya hiyo. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati na maeneo tofauti na...

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi la Polisi, JWTZ wapongezwa kazi nzuri

BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga wamepongeza hatua ya awali iliyofikiwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na JWTZ kwenye operesheni maalumu ya kusaka wahalifu pamoja na silaha waliokuwa wamejifisha katika mapango ya Majimoto yaliyopo eneo la Mzizima Amboni, nje kidogo ya mji.

 

9 years ago

StarTV

Polisi Iringa yajivunia kupungua kwa Matukio Ya Kujinyonga

Polisi mkoani Iringa limesema miongoni mwa mambo ya kujivunia ni pamoja na kufanikiwa kupunguza uharifu wa aina mbalimbali yakiwemo matukio ya kujinyonga ambayo yanatajwa kuwa ni desturi ya kabila la Wahehe.

Ulevi na hasira ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchangia ongezeko la matukio ya kujinyonga ambayo yanaainishwa kuwa ni aina ya ukatili unaodaiwa kufanywa  na baadhi ya wenyeji wa mkoa wa Iringa  na hivyo kujinyonga kuchukuliwa kama desturi ya kabila la Wahehe..

Wahehe ni miongoni mwa...

 

5 years ago

Michuzi

ASKARI MPWAPWA WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MPANGO WA POLISI WA KATA


Mkuu wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP ENXGELBERT KIONDO akizungunza na askari wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma alipokwenda kuwajengea uwezo kuhusu Mpango wa Polisi Kata kama utendaji wa kazi za Polisi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi: Uhalifu umepungua Tanga

MAKOSA dhidi ya uhalifu wa kibinadamu katika Jiji la Tanga yamepungua kwa asilimia 2.64 kwani kwa mwaka 2012 yaliripotiwa matukio 492 ukilinganisha na mwaka 2013 ambapo yalikuwa 479. Akizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kitunda, polisi kupambana na uhalifu

KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Kitunda Gold Mining, iliyopo Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, imeahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kupambana na vitendo vya kihalifu kwenye msitu wa Kitunda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani