Polisi yajivunia kupungua uhalifu Rukwa
MATUKIO ya mauaji ya kikatili yanayosababishwa na imani za kishirikina mkoani Rukwa yamepungua hadi kufikia matukio 30 kwa kipindi cha mwaka jana ukilinganisha na matukio 37 yaliyoripotiwa mwaka 2012. Kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV16 Dec
Polisi Iringa yajivunia kupungua kwa Matukio Ya Kujinyonga
Polisi mkoani Iringa limesema miongoni mwa mambo ya kujivunia ni pamoja na kufanikiwa kupunguza uharifu wa aina mbalimbali yakiwemo matukio ya kujinyonga ambayo yanatajwa kuwa ni desturi ya kabila la Wahehe.
Ulevi na hasira ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchangia ongezeko la matukio ya kujinyonga ambayo yanaainishwa kuwa ni aina ya ukatili unaodaiwa kufanywa na baadhi ya wenyeji wa mkoa wa Iringa na hivyo kujinyonga kuchukuliwa kama desturi ya kabila la Wahehe..
Wahehe ni miongoni mwa...
5 years ago
MichuziPolisi Mpwapwa Wapongezwa Uhalifu kupungua
Na Mwandishi Wetu, Mpwapwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameupongeza...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Karibu IGP Mangu, tunasubiri uhalifu kupungua
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Polisi: Uhalifu umepungua Tanga
MAKOSA dhidi ya uhalifu wa kibinadamu katika Jiji la Tanga yamepungua kwa asilimia 2.64 kwani kwa mwaka 2012 yaliripotiwa matukio 492 ukilinganisha na mwaka 2013 ambapo yalikuwa 479. Akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Kitunda, polisi kupambana na uhalifu
KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Kitunda Gold Mining, iliyopo Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, imeahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kupambana na vitendo vya kihalifu kwenye msitu wa Kitunda...
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Uhalifu wa kimtandao waitesa Polisi
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Polisi kutumia “Whatsapp†kudhibiti uhalifu
Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha (ACP) Edward Balele akifungua kikao kati ya Jeshi hilo na Taasisi za ulinzi kujadili mustakabali wa usalama ndani ya mkoa huu. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Jijini hapa (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha).
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ulinzi ya KK kanda ya Kaskazini Claude Herssens akichangia mada katika kikao kilichoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoani hapa na kuziusisha taasisi mbalimbali za ulinzi...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Polisi kukabili uhalifu mwaka mpya
JESHI la Polisi limesema katika siku ya Sikukuu ya Mwaka mpya imejipanga katika mikoa yote nchini kuhakikisha vitendo vyote vya uhalifu vinadhibitiwa.
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Polisi Arusha kudhibiti uhalifu kwa ‘WhatsApp’