Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Chagueni viongozi wenye kazi’

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye kazi zao binafsi, badala ya kuchagua  viongozi wasiojishughulisha. Kinana alitoa rai hiyo juzi wakati akiwahutubia wananchi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Vijana chagueni viongozi wenye maslahi kwa taifa’

WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imehimiza vijana kuhakikisha wanachagua viongozi wenye maslahi kwa taifa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel alitoa mwito huo jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.

 

10 years ago

Habarileo

Waumini wa dini chagueni viongozi bora -Madenge

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mahmoud Madenge amesema uhuru na raha ya kuabudu vitaendelea kuwepo, endapo waumini wa dini mbalimbali watashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua viongozi wanaoshughulikia matatizo ya wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

Mbarawa: Pemba chagueni CCM sasa muone kazi nzuri

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mkanyageni, Pemba kwa tiketi ya CCM, Profesa Makame Mbarawa amewataka wananchi wa majimbo ya uchaguzi ya Pemba wasirudie makosa ya kukichagua Chama cha Wananchi (CUF) akisema viongozi wake hawapo kwa ajili ya maslahi ya wananchi na wapiga kura.

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WENYE VITUKO DUNIANI

Wakati kila mtu akiamini kuwa marais au viongozi wa nchi ni watu makini na wastaarabu hasa katika kufanya mambo yanayoendana na maadili na tamaduni za nchi zao, viongozi hawa ni kinyume chake ambapo katika vipindi tofauti vya utawala wao wameacha historia ya vituko mbalimbali vinavyowaacha wanahistoria wengi midomo wazi kwa kutoendana kabisa na nyadhifa walizonazo. Songa nayo… Lyndon B. Johnson
Alikuwa rais wa 36 wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa Afrika wenye shauku ya michezo

Mashabiki wa soka barani Afrika ni kati ya mashabiki wenye shauku kubwa na michezo na hata viongozi wao wengi nao wapo hivyo. Viongozi wengi wa Afrika wametumia mapenzi yao ya michezo kuwaunganisha wananchi wao.

 

10 years ago

Habarileo

Wanasheria: Viongozi wenye kauli za kuudhi wawajibishwe

 Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda UrioKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema ipo haja ya sheria ya maadili ya viongozi wa umma kutekelezwa kama ilivyoainishwa na sekretarieti na endapo wapo viongozi wanaotoa kauli zenye kuudhi wawajibishwe.

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YETU NA VIONGOZI WENYE MILIONI 10 ZA MBOGA

Waziri wa zamani wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka. VIONGOZI wamekuwa mstari wa mbele kuitangaza nchi hii kuwa ni maskini, na kwamba huyo ni adui wa kwanza kupambana naye akifuatiwa na ujinga na maradhi. Kwa fikra ungedhani wanachokisema wanakimaanisha, kumbe hali haiko hivyo! Sitakosea nikisema umaskini wanaouzungumzia pengine ni wa wananchi siyo wa Tanzania kwa sababu nchi hii haijapata kuwa maskini wakati...

 

10 years ago

StarTV

Ukatili dhidi ya wenye Albinism, viongozi wa dini walaani.

Na Wilson Elisha,

Mwanza.

 

Viongozi wa kamati ya amani ya dini ya Mkoa wa Mwanza wamesema vitendo cha ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino vya kuwaua kwa kuwakata mapanga kuwa ni laana kwa wanaofanya hivyo na havikubaliki katika jamii.

 

Kutokana na hali hiyo viongozi hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua za kisheria ili haki iweze kutendeka wakati huu ambao wameandaa kongamano la wazi la...

 

10 years ago

Habarileo

BVR hazisomi vidole wenye kazi ngumu

Mashine za Mfumo wa Waandikishaji wa Wapiga Kura (BVR)WANANCHI wanaofanya kazi ngumu kwa kutumia mikono ambao alama zao za vidole zimesagika wamekuwa hawatambuliwi na mashine za Mfumo wa Waandikishaji wa Wapiga Kura (BVR).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani