Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YETU NA VIONGOZI WENYE MILIONI 10 ZA MBOGA

Waziri wa zamani wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka. VIONGOZI wamekuwa mstari wa mbele kuitangaza nchi hii kuwa ni maskini, na kwamba huyo ni adui wa kwanza kupambana naye akifuatiwa na ujinga na maradhi. Kwa fikra ungedhani wanachokisema wanakimaanisha, kumbe hali haiko hivyo! Sitakosea nikisema umaskini wanaouzungumzia pengine ni wa wananchi siyo wa Tanzania kwa sababu nchi hii haijapata kuwa maskini wakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sh10 milioni kununulia mboga ni kebehi

Vyombo vya habari jana viliandika kuhusu mahojiano baina ya Sekretarieti ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma na viongozi wawili wa umma, Andrew Chenge na Profesa Anna Tibaijuka ambao wametuhumiwa kukiuka maadili katika sakata la uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Kenya adhamini mradi wa maji kwenye shule wenye thamani ya shilingi milioni 36 za Tanzania

Msanii wa muziki wa Kenya, Esther Akoth aka Akothee anafahamika kwa miradi yake ya kusaidia jamii. Akothee (katikati) akiwa na walimu wa shule ya sekondari ya St. Alberts Ulanda Girls iliyopo Migori, Kenya Hivi karibuni, Akothee amejitolea kudhamini mradi wa maji kwenye shule ya wasichana iliyopo kwenye kaunti ya Migori nchini Kenya. Shule hiyo iitwayo […]

 

11 years ago

Michuzi

Wakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya Elimu ikiendelea kutolewa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Chiza akagua bustani ya mboga mboga katika banda la Magereza,Sabasaba

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiangalia kilimo cha mazao yenye thamani kubwa, mboga aina ya bilinganya alipotembelea shamba la mfano katika Banda la Jeshi la Magereza katika Viwanja vya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, Juzi, kulia kwake ni Afisa Mwandamizi wa Jeshi hilo Bwana Uswege Mwakahesya (Picha kwa Hisania ya WKCU).

 

11 years ago

GPL

WAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA‏

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taa rifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA…

 

10 years ago

Mwananchi

Lushoto kukipa nguvu kilimo cha mboga mboga

Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga wakulima wa mboga mboga wametakiwa kuzitumia mvua zinazonyesha kwa kulima kuhifadhi maji ili kuwasaidia wakati wa kiangazi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima mboga mboga wataka uongezaji thamani

WAKULIMA wa mboga mboga na viungo wilayani Kilosa mkoani hapa, wameiomba serikali, taasisi, kampuni na watu binafsi nchini kote kujitokeza kuwekeza katika kuongeza thamani, ufungaji bora na kuwezesha mazao hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani