Mh. Chiza akagua bustani ya mboga mboga katika banda la Magereza,Sabasaba
![](http://3.bp.blogspot.com/-8T5IxAuJsJQ/U70FnqaKnsI/AAAAAAAFzx4/nG73G-MozCc/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiangalia kilimo cha mazao yenye thamani kubwa, mboga aina ya bilinganya alipotembelea shamba la mfano katika Banda la Jeshi la Magereza katika Viwanja vya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, Juzi, kulia kwake ni Afisa Mwandamizi wa Jeshi hilo Bwana Uswege Mwakahesya (Picha kwa Hisania ya WKCU).
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/XmJvi-d5UFM/default.jpg)
11 years ago
MichuziWakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA
11 years ago
GPLWAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Lushoto kukipa nguvu kilimo cha mboga mboga
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6zk-IGnvjsA/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Wakulima mboga mboga wataka uongezaji thamani
WAKULIMA wa mboga mboga na viungo wilayani Kilosa mkoani hapa, wameiomba serikali, taasisi, kampuni na watu binafsi nchini kote kujitokeza kuwekeza katika kuongeza thamani, ufungaji bora na kuwezesha mazao hayo...
10 years ago
MichuziJAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA, AZURU KATIKA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA, POLISI, MAGEREZA NA MENGINEYO
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Shirika la Helvetas kutumia Bilioni 2.7 kuwezesha Wanawake wa Singida katika kilimo cha Mboga na matunda
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Helvetas Tanzania, Daniel Kilimbiya, akitoa mada yake ya utambulisho wa mradi wa awamu ya pili wa kuwawezesha wanawake kulima mboga mboga na matunda ili waweze kujikomboa kiuchumi. Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini hapa, ilihudhurudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo kutoka wilaya ya Singida vijijini, Iramba na Mkalama.
Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende, akitoa nasaha zake kwenye semina ya siku...
10 years ago
VijimamboBANDA LA JESHI LA MAGEREZA LANG'ARA KWA BIDHAA BORA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA 'SABASABA' 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-kI6ohOzJvYo/VZWRacxoC0I/AAAAAAADvRk/Ie7GnrC7WhA/s640/image.jpeg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QPjgXoCaobQ/VZWRamxDkcI/AAAAAAADvRg/Lp6c6rfcFsw/s640/image_1.jpeg)