Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shirika la Helvetas kutumia Bilioni 2.7 kuwezesha Wanawake wa Singida katika kilimo cha Mboga na matunda

DSC05224

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Helvetas Tanzania, Daniel Kilimbiya, akitoa mada yake ya utambulisho wa mradi wa awamu ya pili wa kuwawezesha wanawake kulima mboga mboga na matunda ili waweze kujikomboa kiuchumi. Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini hapa, ilihudhurudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo kutoka wilaya ya Singida vijijini, Iramba na Mkalama.

DSC05204

Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende, akitoa nasaha zake kwenye semina ya siku...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Helvetas Swiss Intercooperation Tanzania lashauri uvunaji wa maji ya mvua kusaidia kilimo cha umwagiliaji Mkoani Singida

IMG_1760 (1)

Afisa tathimini wa shirika lisilo la kiserikali la Helvetas Tanzania, Shoma Nangale, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika juzi mjini hapa.Shoma ametoa wito kwa halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mikakati ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji cha mboga mboga.(Picha  na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zimehimizwa kuweka mikakati...

 

9 years ago

Mwananchi

Shirika kuwawezesha wanawake kilimo cha mboga

Shirika lisilo la kiserikali la Helveras Tanzania linatarajia kutumia zaidi ya Sh2.7 bilioni kugharimia mradi wa kuwawezesha wanawake katika kilimo cha mbogamboga na masoko ulioanza mwaka huu unaotarajiwa kumalizika 2017.

 

9 years ago

Dewji Blog

AECF yapokea Bilioni 17 kuwezesha shindano la kilimo cha biashara

Mkurugenzi wa Mfuko wa Sekta Binafsi AECF, Hugh Scott akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo wakati akizungumzia shindano litakaloshirikisha kampuni za Tanzania zinazojishughulisha na shughuli za kilimo na biashara ambalo litafanyika hapa nchini, shirika hilo linalojishughulisha na mikopo ya shughuli za kilimo na biashara hapa nchini Tanzania.

Mkuu wa Huduma za Shirika la AECF, Bw.Sam Sang’ang’a  akizungumzia kuhusu mashindao yatakavyofanyika katika...

 

10 years ago

Michuzi

TEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE ITAKUZA KILIMO CHA MATUNDA NA MBOGA KWA WAKULIMA

Mtaalamu wa Mradi wa Kilimo chenye tija Tanzania (TAPP ), Mussa Madurufu ( anayenyosha mikono) akitoa elimu ya namna ya kuendesha wa kilimo cha bustani ya nyanya kwa njia ya teknolojia mpya ya umwagiliaji kwa njjia ya matone wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima Julai 20, 2015 katika bustani ya vipando vya mboga na matunda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), maonesho yaliyodhaminiwa na Asasi kilele ya sekta binafsi yenye lango kuu la kuhamasisha maendeleo ya kilimo cha mazao ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Lushoto kukipa nguvu kilimo cha mboga mboga

Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga wakulima wa mboga mboga wametakiwa kuzitumia mvua zinazonyesha kwa kulima kuhifadhi maji ili kuwasaidia wakati wa kiangazi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wakulima Dodoma, wasifu Ufanisi wa TPA katika kuwezesha Usafirishaji wa Mazao na Uagizaji wa Pembejeo za Kilimo

PIC 1

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya.

PIC 2

Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wapili kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw.  Hamis Abdallah Mwenda...

 

11 years ago

BBCSwahili

Matunda na Mboga zinaokoa maisha

Watafiti wanasema kula matunda na mboga za majani mara saba kwa siku itakuzuia kufa mapema

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE HANANG' WANUFAIKA NA MRADI WA KILIMO KUTOKA SHIRIKA LA OXFAM & UCRT



Felista Giyam mhasibu wa kikundi cha hamasa ameiomba serikali kuona uwezekano wa kutafuta masoko kwa mazao ya wakulima kwani wamekuwa wakilima kwa muda mrefu lakini wanakosa masoko hivyo kuwakatisha tamaa licha ya kukiri kuwa wamekuwa na faida kwa wastani japo soko linaendelea kuwa kikwazo licha ya kwamba pia wakulima wamekuwa wakitumia gharama kubwa katika pembejeo za kilimo

Anna Iselu mbaye ni mhasibu wa kikundi cha wanawake na vijana cha Gosanga anasema mradi huo utawafanya kutokuonekana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani