AECF yapokea Bilioni 17 kuwezesha shindano la kilimo cha biashara
Mkurugenzi wa Mfuko wa Sekta Binafsi AECF, Hugh Scott akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo wakati akizungumzia shindano litakaloshirikisha kampuni za Tanzania zinazojishughulisha na shughuli za kilimo na biashara ambalo litafanyika hapa nchini, shirika hilo linalojishughulisha na mikopo ya shughuli za kilimo na biashara hapa nchini Tanzania.
Mkuu wa Huduma za Shirika la AECF, Bw.Sam Sang’ang’a akizungumzia kuhusu mashindao yatakavyofanyika katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Shirika la Helvetas kutumia Bilioni 2.7 kuwezesha Wanawake wa Singida katika kilimo cha Mboga na matunda
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Helvetas Tanzania, Daniel Kilimbiya, akitoa mada yake ya utambulisho wa mradi wa awamu ya pili wa kuwawezesha wanawake kulima mboga mboga na matunda ili waweze kujikomboa kiuchumi. Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini hapa, ilihudhurudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo kutoka wilaya ya Singida vijijini, Iramba na Mkalama.
Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende, akitoa nasaha zake kwenye semina ya siku...
9 years ago
MichuziAECF YAZINDUA AWAMU YA NNE YA DIRISHA LA UFADHILI WA KILIMO BIASHARA HAPA NCHINI.
Mkurugenzi wa kampuni ya Internation Tan Feed...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
‘Watanzania changamkieni shindano kilimo cha biashara’
WATANZANIA wenye mawazo ya biashara katika sekta ya kilimo wamehamasishwa kushiriki shindano la awamu ya tatu ya dirisha la ufadhili wa kilimo cha biashara kwa ajili ya kuendeleza sekta hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
IPRCC wafundisha kilimo cha biashara
KITUO cha Kimataifa cha Watu wa China cha Kupunguza Umasikini (IPRCC), kwa kushirikiana na serikali wamefanikiwa kuendesha mradi wa miaka mitatu wa kufundisha wakulima wadogo kilimo cha biashara. Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Pinda ahimiza kilimo cha biashara
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka watanzania kutumia kilimo cha biashara kwa umakini ili kukuza uchumi wa nchi. Pinda, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wa kujadili masuala...
10 years ago
Dewji Blog02 Feb
Watendaji, watumishi wa umma watakiwa kujikita kwenye kilimo cha biashara
Kaimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Singida, Joseph Sabore, akitoa ufafanuzi wa ajenda zilizokuwa zikiwasilishwa mbele ya kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Singida, Elia Didha na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi na wa kwanza kulia ni katibu CCM wilaya ya Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
KAIMU mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Singida, Elia Digha, amewahimiza watendaji kujenga utamaduni wa kujishughulisha...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA NJOMBE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA BIASHARA YA KILIMO
5 years ago
MichuziNMB yawezesha Kilimo cha katani nchini, yatoa shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya matrekta
Waziri Mkuu – Kassim Majaliwa akikabidhi mkopo uliotolewa kwa mkopo na Benki ya NMB wa matrekta 11 na matrela yake 22 yenye thamani ya sh. Bilioni moja, kwa Vyama Vinne vya ushirika vya wakulima wa mkonge Mkoani Tanga. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge mkoani Tanga – Greyson Nyari akionyesha ufunguo wa moja ya matrekta aliyokabidhiwa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa moja ya matrekta hayo Greyson Nyari, Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge Mkoa wa Tanga...