AECF YAZINDUA AWAMU YA NNE YA DIRISHA LA UFADHILI WA KILIMO BIASHARA HAPA NCHINI.

Mkurugenzi wa The African Enterprise Challenge Fund (AECF), Hugh Scott akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na uzinduzi wa awamu ya nne ya dirisha la ufadhili wa kilimo cha biashara maalum kwaajili ya watanzania hapa nchini.
Afisa mkuu wa usimamizi, Sam Ng'ang'a akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kushoto ni Mkurugenzi wa The African Enterprise Challenge Fund (AECF), Hugh Scott.
Mkurugenzi wa kampuni ya Internation Tan Feed...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
AECF yapokea Bilioni 17 kuwezesha shindano la kilimo cha biashara
Mkurugenzi wa Mfuko wa Sekta Binafsi AECF, Hugh Scott akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo wakati akizungumzia shindano litakaloshirikisha kampuni za Tanzania zinazojishughulisha na shughuli za kilimo na biashara ambalo litafanyika hapa nchini, shirika hilo linalojishughulisha na mikopo ya shughuli za kilimo na biashara hapa nchini Tanzania.
Mkuu wa Huduma za Shirika la AECF, Bw.Sam Sang’ang’a akizungumzia kuhusu mashindao yatakavyofanyika katika...
11 years ago
Michuzi
HEINEKEN YAZINDUA MICHUANO YA FOOSBALL KWA MARA NYINGINE TENA HAPA NCHINI

11 years ago
Mwananchi31 Jan
WTZ wahamasishwa kusaka ufadhili kilimo
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Awamu ya nne imelisumu taifa!
RAIS wangu awamu ya nne ikiendelea kushupaza shingo na kujifanya kichwa ngumu kisicho na masikio, kitakachojiri si kingine bali utimilifu wa maandiko, “Kilichoingia kwa hila kitaondoka kwa hila!” Awamu ya...
10 years ago
Habarileo13 May
Pinda: Awamu ya Nne imefanikiwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameelezea mafanikio makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara, usambazaji wa nishati vijijini, uboreshaji wa huduma za jamii pamoja na utoaji wa mikopo kwa wananchi.
10 years ago
Mwananchi14 Dec
‘Serikali ya awamu ya nne kumaliza vibaya’
11 years ago
Habarileo14 May
Awamu ya nne JKT yakosa vijana
AWAMU ya nne ya mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa wahitimu wa Kidato cha Sita iliyokuwa ianze mwanzoni mwa mwaka huu, imekosa vijana kutokana na wengi wao kujiunga na vyuo vya elimu ya juu ambavyo muhula wake umeanza Oktoba mwaka jana.
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Kashfa tano zimeitesa Serikali ya awamu ya nne