Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matunda na Mboga zinaokoa maisha

Watafiti wanasema kula matunda na mboga za majani mara saba kwa siku itakuzuia kufa mapema

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kwa sasa soko la Kariakoo limeishiwa matunda, mboga

MENEJA Mkuu wa Shirika la Masoko Kariakoo, Florens Seiya amesema kuwa hivi sasa kuna uhaba wa matunda na mboga sokoni hapo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Helvetas kutumia Bilioni 2.7 kuwezesha Wanawake wa Singida katika kilimo cha Mboga na matunda

DSC05224

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Helvetas Tanzania, Daniel Kilimbiya, akitoa mada yake ya utambulisho wa mradi wa awamu ya pili wa kuwawezesha wanawake kulima mboga mboga na matunda ili waweze kujikomboa kiuchumi. Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini hapa, ilihudhurudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo kutoka wilaya ya Singida vijijini, Iramba na Mkalama.

DSC05204

Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende, akitoa nasaha zake kwenye semina ya siku...

 

10 years ago

Michuzi

TEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE ITAKUZA KILIMO CHA MATUNDA NA MBOGA KWA WAKULIMA

Mtaalamu wa Mradi wa Kilimo chenye tija Tanzania (TAPP ), Mussa Madurufu ( anayenyosha mikono) akitoa elimu ya namna ya kuendesha wa kilimo cha bustani ya nyanya kwa njia ya teknolojia mpya ya umwagiliaji kwa njjia ya matone wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima Julai 20, 2015 katika bustani ya vipando vya mboga na matunda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), maonesho yaliyodhaminiwa na Asasi kilele ya sekta binafsi yenye lango kuu la kuhamasisha maendeleo ya kilimo cha mazao ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Matunda yanavyoendesha maisha ya wengi Dodoma

Watu wamekuwa wakihangaika kwa njia mbalimbali ili waweze kuishi. Mojawapo ya biashara ambayo inaonekana kuwaendeshea wengi maisha ni ile ya matunda na wengi huifanya kwa staili tofauti.

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Chiza akagua bustani ya mboga mboga katika banda la Magereza,Sabasaba

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiangalia kilimo cha mazao yenye thamani kubwa, mboga aina ya bilinganya alipotembelea shamba la mfano katika Banda la Jeshi la Magereza katika Viwanja vya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, Juzi, kulia kwake ni Afisa Mwandamizi wa Jeshi hilo Bwana Uswege Mwakahesya (Picha kwa Hisania ya WKCU).

 

11 years ago

Michuzi

Wakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya Elimu ikiendelea kutolewa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

WAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA‏

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taa rifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA…

 

10 years ago

Mwananchi

Lushoto kukipa nguvu kilimo cha mboga mboga

Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga wakulima wa mboga mboga wametakiwa kuzitumia mvua zinazonyesha kwa kulima kuhifadhi maji ili kuwasaidia wakati wa kiangazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani