Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matunda yanavyoendesha maisha ya wengi Dodoma

Watu wamekuwa wakihangaika kwa njia mbalimbali ili waweze kuishi. Mojawapo ya biashara ambayo inaonekana kuwaendeshea wengi maisha ni ile ya matunda na wengi huifanya kwa staili tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Matunda na Mboga zinaokoa maisha

Watafiti wanasema kula matunda na mboga za majani mara saba kwa siku itakuzuia kufa mapema

 

11 years ago

Michuzi

Nyota wa WIKI: WILLY MATUNDA, mjasiriamali mbunifu wa dodoma


 Msaidizi wa Willy Matunda akiandaa 'duka' la matunda linalotembea nje ya hoteli ya Zahir katika mtaa wa Mtendeni mjini Dodoma. 
 Willy Matunda mwenyewe akiandaa matunda kwa ajili ya wateja wake. Huyu bwana anasifika sio tu kwa kuwa na matunda fresh kila siku pamoja na usafi bali pia kwa kupania kufanya watu wale matunda sana, sio kungoja hadi mtu alazwe hospitali kwanza ndipo ale...
 Duka litembealo la Willy Matnda 
Wateja kibao kwa Willy Matunda ambaye ameihamasisha Globu ya Jamii...

 

10 years ago

Vijimambo

TUKISHIRIKIANA TUTAOKOA MAISHA YA AKINA MAMA WENGI NA WATOTO

Dkt, Andrea Atzori akiwa na Bi. Tully Mwaipopo, Afisa wa Uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mara baada ya uzinduzi wa onyesho hiloBalozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa akizungumza wakati wa uzinduzi wa onyesho la picha lililoandaliwa kwa ubia baina ya Wakilishi za Kudumu za Italia na Tanzania. Onyesho hilo linahusu huduma za afya ya mama na mtoto zinazotolewa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Doctors with Africa CUAMM katika...

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA: SANAA HAILIPI, WENGI WANAISHI MAISHA YA KUIGIZA!

SOKO la filamu limekua, maisha ya vijana wengi yamebadilika kutokana na sanaa hiyo. Hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa; malipo ya wasanii na mikataba mibovu imeendelea kuwa kilio kwao. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba Hilo linawafanya waendelee kubaki palepale licha ya kupanda kwa hatua nyingi takriban miaka saba iliyopita. Sinema kwa sasa, imebaki kuwa na manufaa zaidi kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Daz Baba adai wasanii wengi wa Bongo ‘Wanafeki maisha’

Daz Baba akiwa kwenye mazishiDaz Baba amewataka wasanii kuacha ‘kufeki’ maisha yao ili waonekane wanaishi maisha mazuri wakati hali ni mbaya! Daz amesema wasanii wanaofanya hivyo ipo siku wataaibika. “Mimi naishi maisha ya ukweli, mimi sidanganyi nina Hummer wakati sina gari, mimi sina maisha hayo,” Daz alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Hatutakiwi kuishi maisha ya […]

 

9 years ago

StarTV

Maisha bora uzeeni  Wazee wengi nchini walalamikia kutelekezwa

Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kuweka mikakati ya kuwahudumia wazee kwa kuwapatia pensheni, mazingira bora ya makazi na matibabu, wazee wengi nchini wanakabiliwa na matatizo mengi ambayo yanadaiwa kuwakatisha tamaa kutokana na kutelekezwa na kutothamini na jamii licha ya kulitumikia Taifa wakati wa ujana wao.

Kilio kikubwa cha wazee hao ni kutokupata huduma au usaidizi pindi wanapopata matatizo.

Baadhi ya Wazee wengi nchini hasa waishio vijijini bado wanakabiliwa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vijana wengi wapata mafunzo juu ya maisha na kujiajili katika Kongamano la Msafara lililofanyika UDSM

Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wanawake 2002-2003 na kuchezea mpira timu hiyo kwa Miaka 15 mpaka anastaafu mwaka huu Esther Chabruma akielezea namna mchezo wa Mpira wa Miguu ilivyoweza msaidia mpaka hapa alipofikia na kuwasihi vijana wasikate tamaa maana kila jambo lina wakati wake jana tarehe 4.12.2015.

Msanii wa sanaa za Maonesho Vanensia Shule, ambaye pia ni Mkufunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa sanaa na Filamu akielezea jinsi Sanaa inavyoweza kumkomboa kijana na...

 

11 years ago

Michuzi

Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi

Na Anna Nkinda - Washington
Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria  hafla fupi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kauli zilizovuta hisia ya wengi Bunge Maalum la Katiba Dodoma

>Ni vigumu kueleza matukio yote yaliyotawala kauli na hisia za wengi kwa wiki nzima mjini Dodoma bila kuangalia  michango ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani