Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maisha bora uzeeni  Wazee wengi nchini walalamikia kutelekezwa

Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kuweka mikakati ya kuwahudumia wazee kwa kuwapatia pensheni, mazingira bora ya makazi na matibabu, wazee wengi nchini wanakabiliwa na matatizo mengi ambayo yanadaiwa kuwakatisha tamaa kutokana na kutelekezwa na kutothamini na jamii licha ya kulitumikia Taifa wakati wa ujana wao.

Kilio kikubwa cha wazee hao ni kutokupata huduma au usaidizi pindi wanapopata matatizo.

Baadhi ya Wazee wengi nchini hasa waishio vijijini bado wanakabiliwa na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanachi walalamikia ugumu wa maisha licha ya kuwa na rasilimali za kutosha

IMG-20150126-WA0033

William Mungai (wa pili kushoto) ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini akimpokea Makamu mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mh. Ole SOSOPI (katikati).

IMG-20150126-WA0034

Makamu mwenyekiti wa BAVICHA Taifa  Mh.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi kaskazini.

IMG-20150126-WA0035

William Mungai ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA.

Na Fredy Mgunda

Wananchi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Matunda yanavyoendesha maisha ya wengi Dodoma

Watu wamekuwa wakihangaika kwa njia mbalimbali ili waweze kuishi. Mojawapo ya biashara ambayo inaonekana kuwaendeshea wengi maisha ni ile ya matunda na wengi huifanya kwa staili tofauti.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara Namanga walalamikia kunyanyaswa nchini Kenya

Wafanyabiashara wa Namanga na Wilaya ya Longido wameiomba Serikali iwajengee Soko kubwa Namanga ili waepukane na usumbufu wanaoupata wanapokwenda Kenya kuuza mifugo, mazao na bidhaa nyingine.
Wafanyabiashara hao walitoa ombi lao jana Septemba 19 wakati wa mkutano na Maofisa wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wanaotembelea mipaka mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu ya Mtangamano wa Afrika Mashariki.
Baadhi ya manyanyaso wanayopata wanadai ni kuombwa kitu kidogo, kupewa malipo kidogo...

 

11 years ago

Habarileo

Watoto wengi hawana lishe bora

WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA: SANAA HAILIPI, WENGI WANAISHI MAISHA YA KUIGIZA!

SOKO la filamu limekua, maisha ya vijana wengi yamebadilika kutokana na sanaa hiyo. Hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa; malipo ya wasanii na mikataba mibovu imeendelea kuwa kilio kwao. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba Hilo linawafanya waendelee kubaki palepale licha ya kupanda kwa hatua nyingi takriban miaka saba iliyopita. Sinema kwa sasa, imebaki kuwa na manufaa zaidi kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUKISHIRIKIANA TUTAOKOA MAISHA YA AKINA MAMA WENGI NA WATOTO

Dkt, Andrea Atzori akiwa na Bi. Tully Mwaipopo, Afisa wa Uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mara baada ya uzinduzi wa onyesho hiloBalozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa akizungumza wakati wa uzinduzi wa onyesho la picha lililoandaliwa kwa ubia baina ya Wakilishi za Kudumu za Italia na Tanzania. Onyesho hilo linahusu huduma za afya ya mama na mtoto zinazotolewa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Doctors with Africa CUAMM katika...

 

9 years ago

Bongo5

Daz Baba adai wasanii wengi wa Bongo ‘Wanafeki maisha’

Daz Baba akiwa kwenye mazishiDaz Baba amewataka wasanii kuacha ‘kufeki’ maisha yao ili waonekane wanaishi maisha mazuri wakati hali ni mbaya! Daz amesema wasanii wanaofanya hivyo ipo siku wataaibika. “Mimi naishi maisha ya ukweli, mimi sidanganyi nina Hummer wakati sina gari, mimi sina maisha hayo,” Daz alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Hatutakiwi kuishi maisha ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani