Daz Baba adai wasanii wengi wa Bongo ‘Wanafeki maisha’
Daz Baba amewataka wasanii kuacha ‘kufeki’ maisha yao ili waonekane wanaishi maisha mazuri wakati hali ni mbaya! Daz amesema wasanii wanaofanya hivyo ipo siku wataaibika. “Mimi naishi maisha ya ukweli, mimi sidanganyi nina Hummer wakati sina gari, mimi sina maisha hayo,” Daz alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Hatutakiwi kuishi maisha ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Bongo515 Oct
Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache
9 years ago
Bongo510 Dec
Kingwendu adai wasanii wa komedi wataiokoa tasnia ya filamu Bongo
![Kingwendu.._full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/12/Kingwendu.._full-200x200.jpg)
Mchekeshaji, Rashidi Mwinshehe aka Kingwendu, amesema baada ya wasanii wa filamu za kawaida kushindwa kuendeleza mafanikio aliyoyaacha marehemu Steven Kanumba, wasanii wa wa kuchekesha wanajipanga kufanya mabadiliko ya filamu ndani ya mwaka 2016.
Mwigizaji huyo ambaye mwaka huu aligombea ubunge katika jimbo la Kisarawe, amekiambia kipindi cha Wasanii cha Pamoja Radio ya nchini Uholanzi kuwa, wasanii wa kuchekesha wamejipanga vizuri kuhakikisha bendera ya Tanzania inapepea zaidi kupitia...
9 years ago
Bongo517 Oct
Wasanii wengi Bongo ni wanaweza, hawana nyota tu — Christian Bella
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Daz Baba amkumbuka Mwangwea
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, David Jacob ‘Daz Baba’, amesema video yake mpya itakayofahamika kama ‘Mzigo Viwanjani’ ni kumbukumbu tosha ya marehemu Albert Mangwea.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Daz baba alisema aliweza kumshirikisha Mangwea katika single ya wimbo huo.
“Tulifanya mambo mengi sana na Mangwea, hivyo video hii imekuwa kumbukumbu kwangu,” alisema Daz Baba.
Alisema video hiyo inafanywa chini ya mtayarishaji Lamar, inatarajiwa kukamilika muda...
10 years ago
CloudsFM14 Jan
DAZ BABA AKANA KUTUMIA ‘UNGA’
Msanii huyo amezungumza na xxl clouds fm alisema kuwa amesikitishwa na taarifa hizo kwani ni uzushi na kwamba yeye ni mzima haumwi na akizungumzia ishu ya kutumia unga alikana kutumia madawa ya kulevya.
9 years ago
Bongo528 Sep
Hiki ndicho Daz Baba anachojivunia
9 years ago
Bongo513 Oct
Ukata waikwamisha taasisi ya Daz Baba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor98tgpgf2JpYHfXiC8Oet9qTiSwb5kASOq55DwSvBFn6EvqGXv55VS5x9lj8-FBN9iRlvE6um473cFrNX7mkfQSO/RayC.jpg?width=650)
RAY C AAPA KUMSAIDIA DAZ BABA