Hiki ndicho Daz Baba anachojivunia
Rapper Daz Baba amesema anachojivunia katika muziki wake mpaka sasa ni kiwanja pamoja na muziki wake kuwa mfano kwa wengine. Daz ameiambia Bongo5 leo kuwa haangalii anaingiza pesa kiasi gani ila anaangalia mchango wake kwenye muziki. “Mafanikio yangu kwenye muziki ni kuwa na identity yangu. Muziki wangu umekuwa na mchango sana kwenye muziki huu. Kwenye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Hiki ndicho kinachomstahili Warioba?
MWAKA 2012, Tume ya Rais ya Mabadiliko ya Katiba iliundwa chini ya uongozi wa Jaji mstaafu Joseph Warioba. Juni 4, 2013 rasimu ya kwanza ikatoka, na wananchi kupitia makundi mbalimbali...
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Daz Baba amkumbuka Mwangwea
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, David Jacob ‘Daz Baba’, amesema video yake mpya itakayofahamika kama ‘Mzigo Viwanjani’ ni kumbukumbu tosha ya marehemu Albert Mangwea.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Daz baba alisema aliweza kumshirikisha Mangwea katika single ya wimbo huo.
“Tulifanya mambo mengi sana na Mangwea, hivyo video hii imekuwa kumbukumbu kwangu,” alisema Daz Baba.
Alisema video hiyo inafanywa chini ya mtayarishaji Lamar, inatarajiwa kukamilika muda...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Hiki ndicho chanzo cha Ukawa
SEHEMU ya misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, ya 1977, inasema: “Kwa kuwa sisi wananchi wa
Joseph Mihangwa
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Hiki ndicho tunasubiri katika michezo
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Hiki Ndicho Kilichomuachisha Shule Riyama
Staa wa Filamu Bongo, Riyama Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Riyama alisema kuwa kutokana na umbumbumbu wake alilazimika kuishia kidato cha pili baada ya masomo kuzidi kuwa magumu.
“Kwa kweli ugumu wa masomo ulinifanya niache shule, niliona kama wazazi wanapoteza pesa yao bure, sikuwa naambulia chochote,...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Wanafunzi hiki ndicho mlichokifuata chuoni?
“AONYWAYE mara nyingi akishupaza shingo itavunjika.” Huu ni msemo wa Kiswahili ambao hutumika kwa maonyo katika jamii inayotuzunguka. Msemo huu ni mfupi sana kwa maneno, lakini ni mpana kwa maana...
10 years ago
Vijimambo06 Jan
HIKI NDICHO KIRUSI KINACHOITAFUNA SIMBA
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/SAM_4246.jpg)
Simba ilikuwa tishio lakini kwa miaka ya hivi karibuni imegeuka na inaandamwa na matokeo mabovu.Mwaka 2011-2012 Simba iliambulia nafasi ya 3 katika ligi ikiwa nyuma ya Yanga na Azam, msimu wa mwaka 2013-2014 ilishika nafasi ya 4 nyuma ya Azam, Yanga na Mbeya City iliyoingia...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Hiki ndicho kinacho mstahili Warioba?-2
KUPITIA gazeti hili toleo namba 3414 la tarehe 9 Aprili, 2014, niliandika makala yenye kichwa cha habari “hiki ndicho kinachomstahili Warioba”? Maudhui yake yalijikita katika kuonesha utovu wa nidhamu wa...