Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hiki ndicho tunasubiri katika michezo

Kipindi ambacho sekta ya michezo ilikuwa inahitaji fedha kwa ajili ya kusomesha watalaamu na kugharimia maendeleo yake, Serikali iliwakatisha tamaa wadau wa michezo ilipopitisha uamuzi wa kusikitisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Hiki ndicho kinachomstahili Warioba?

MWAKA 2012, Tume ya Rais ya Mabadiliko ya Katiba iliundwa chini ya uongozi wa Jaji mstaafu Joseph Warioba. Juni 4, 2013 rasimu ya kwanza ikatoka, na wananchi kupitia makundi mbalimbali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hiki ndicho kinacho mstahili Warioba?-2

KUPITIA gazeti  hili toleo namba 3414 la tarehe 9 Aprili, 2014, niliandika makala yenye kichwa cha habari “hiki ndicho kinachomstahili Warioba”?  Maudhui yake yalijikita katika kuonesha utovu wa nidhamu wa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hiki Ndicho Kilichomuachisha Shule Riyama

Staa wa Filamu Bongo, Riyama Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu.

Akizungumza na Ijumaa  hivi karibuni, Riyama alisema kuwa kutokana na umbumbumbu wake alilazimika kuishia kidato cha pili baada ya masomo kuzidi kuwa magumu.

“Kwa kweli ugumu wa masomo ulinifanya niache shule, niliona kama wazazi wanapoteza pesa yao bure, sikuwa naambulia chochote,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Hiki ndicho chanzo cha Ukawa

SEHEMU ya misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, ya 1977, inasema: “Kwa kuwa sisi wananchi wa

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO KIRUSI KINACHOITAFUNA SIMBA

Simba ni klabu kubwa sana katika historia ya soka nchini na Afrika Mashariki na Kati kiujumla. Hii haina ubishi kutokana na mafamikio yake katika soka miaka ya nyuma hadi ikafikia hatua ya kupachikwa jina la “TAIFA KUBWA”.
Simba ilikuwa tishio lakini kwa miaka ya hivi karibuni imegeuka na inaandamwa na matokeo mabovu.Mwaka 2011-2012 Simba iliambulia nafasi ya 3 katika ligi ikiwa nyuma ya Yanga na Azam, msimu wa mwaka 2013-2014 ilishika nafasi ya 4 nyuma ya Azam, Yanga na Mbeya City iliyoingia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi hiki ndicho mlichokifuata chuoni?

“AONYWAYE mara nyingi akishupaza shingo itavunjika.” Huu ni msemo wa Kiswahili ambao hutumika kwa maonyo katika jamii inayotuzunguka. Msemo huu ni mfupi sana kwa maneno, lakini ni mpana kwa maana...

 

9 years ago

Bongo5

Hiki ndicho Daz Baba anachojivunia

Rapper Daz Baba amesema anachojivunia katika muziki wake mpaka sasa ni kiwanja pamoja na muziki wake kuwa mfano kwa wengine. Daz ameiambia Bongo5 leo kuwa haangalii anaingiza pesa kiasi gani ila anaangalia mchango wake kwenye muziki. “Mafanikio yangu kwenye muziki ni kuwa na identity yangu. Muziki wangu umekuwa na mchango sana kwenye muziki huu. Kwenye […]

 

10 years ago

Mwananchi

Hiki ndicho kinachovutia mbu kumuuma binadamu

>Ukitaja  mbu, wazo litakalomjia mtu kwa haraka ni ugonjwa wa malaria. Hiyo inatokana na mazoea yenye ukweli kwamba, mdudu huyo hueneza ugonjwa huo kama ilivyo kwa malale na matende.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani