Ukata waikwamisha taasisi ya Daz Baba
Daz Baba amesema anashindwa kufanya miradi ya maendeleo ya kijamii kupitia taasisi yake ya ‘Tanzania Songa Mbele Daima’ kutokana na taasisi hiyo kukumbwa na ukata wa fedha. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na EATV, muimbaji huyo wa kundi la zamani la Daz Nundaz, alisema tayari ameshajaribu kuzunguka huku na kule ili kupata wadhamini […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Daz Baba amkumbuka Mwangwea
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, David Jacob ‘Daz Baba’, amesema video yake mpya itakayofahamika kama ‘Mzigo Viwanjani’ ni kumbukumbu tosha ya marehemu Albert Mangwea.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Daz baba alisema aliweza kumshirikisha Mangwea katika single ya wimbo huo.
“Tulifanya mambo mengi sana na Mangwea, hivyo video hii imekuwa kumbukumbu kwangu,” alisema Daz Baba.
Alisema video hiyo inafanywa chini ya mtayarishaji Lamar, inatarajiwa kukamilika muda...
10 years ago
CloudsFM14 Jan
DAZ BABA AKANA KUTUMIA ‘UNGA’
Msanii huyo amezungumza na xxl clouds fm alisema kuwa amesikitishwa na taarifa hizo kwani ni uzushi na kwamba yeye ni mzima haumwi na akizungumzia ishu ya kutumia unga alikana kutumia madawa ya kulevya.
9 years ago
Bongo528 Sep
Hiki ndicho Daz Baba anachojivunia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor98tgpgf2JpYHfXiC8Oet9qTiSwb5kASOq55DwSvBFn6EvqGXv55VS5x9lj8-FBN9iRlvE6um473cFrNX7mkfQSO/RayC.jpg?width=650)
RAY C AAPA KUMSAIDIA DAZ BABA
10 years ago
Bongo518 Feb
Daz Baba: Msiamini yaliyoandikwa, mimi nipo fit
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/TARUKDkBK7oZRGIVKgIWh1dt2uNaHJbToqfyxGMPeK31FY3q7dmX35nA-x2R*qEL2ocQY4Luun-liQZ9oc4yaL6dA73-v9VN/MAMAWEMAh.jpg?width=650)
AFANDE ACHA HIZO, UKWELI UTAMSAIDIA DAZ BABA!
9 years ago
Bongo530 Oct
Daz Baba adai wasanii wengi wa Bongo ‘Wanafeki maisha’
![Daz Baba akiwa kwenye mazishi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/02/Daz-Baba-akiwa-kwenye-mazishi1-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo516 Dec
Daz Baba aanzisha kampuni ya kutengeneza video, ‘Premiere MK’
![Daz-Baba11](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/02/Daz-Baba11-300x194.jpg)
Msanii wa kundi la zamani Daz Nundaz, Daz Baba, amefungua kampuni yake ya kufanya video iitwayo ‘Premiere MK.’
Rapa huyo aliyewahi kutamba na wimbo ‘Namba 8’ ameiambia Bongo5 kuwa kampuni hiyo tayari imeshazinduliwa kwa kufanya video ya wimbo wake mpya uitwao Viwanjani.
“Lengo la kampuni yetu ni kusogeza sanaa mbele kwa sababu watu wengi wenye kampuni zao za video wanaringa sana. Kwahiyo tukaamua kuanzisha kampuni yetu ili itusaidie sisi pamoja na wasanii wengine. Kwahiyo kupitia kampuni...
10 years ago
Bongo525 Feb
New Music: Daz Baba Ft Man Chipi & Bella B – Pointa