Daz Baba aanzisha kampuni ya kutengeneza video, ‘Premiere MK’
Msanii wa kundi la zamani Daz Nundaz, Daz Baba, amefungua kampuni yake ya kufanya video iitwayo ‘Premiere MK.’
Rapa huyo aliyewahi kutamba na wimbo ‘Namba 8’ ameiambia Bongo5 kuwa kampuni hiyo tayari imeshazinduliwa kwa kufanya video ya wimbo wake mpya uitwao Viwanjani.
“Lengo la kampuni yetu ni kusogeza sanaa mbele kwa sababu watu wengi wenye kampuni zao za video wanaringa sana. Kwahiyo tukaamua kuanzisha kampuni yetu ili itusaidie sisi pamoja na wasanii wengine. Kwahiyo kupitia kampuni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo511 Aug
Sheddy Clever sasa kuanza kutengeneza video, aanzisha Burn Shine Video production
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Ni TID , Marlaw, AY, Ray C, Daz baba, Suma Lee,kwenye video zao enzi hizo…(+Video)
Muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo…..nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa mbalimbali TZ kwenye ubora wao yani enzi hizo. Ninazo video 10 zilizokuwa zikitambata enzi hizo.. TID – zeze Marlaw –Bembeleza Ray C – Uko wapi […]
The post Ni TID , Marlaw, AY, Ray C, Daz baba, Suma Lee,kwenye video zao enzi hizo…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Daz Baba amkumbuka Mwangwea
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, David Jacob ‘Daz Baba’, amesema video yake mpya itakayofahamika kama ‘Mzigo Viwanjani’ ni kumbukumbu tosha ya marehemu Albert Mangwea.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Daz baba alisema aliweza kumshirikisha Mangwea katika single ya wimbo huo.
“Tulifanya mambo mengi sana na Mangwea, hivyo video hii imekuwa kumbukumbu kwangu,” alisema Daz Baba.
Alisema video hiyo inafanywa chini ya mtayarishaji Lamar, inatarajiwa kukamilika muda...
9 years ago
Bongo513 Oct
Ukata waikwamisha taasisi ya Daz Baba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor98tgpgf2JpYHfXiC8Oet9qTiSwb5kASOq55DwSvBFn6EvqGXv55VS5x9lj8-FBN9iRlvE6um473cFrNX7mkfQSO/RayC.jpg?width=650)
RAY C AAPA KUMSAIDIA DAZ BABA
9 years ago
Bongo528 Sep
Hiki ndicho Daz Baba anachojivunia
10 years ago
CloudsFM14 Jan
DAZ BABA AKANA KUTUMIA ‘UNGA’
Msanii huyo amezungumza na xxl clouds fm alisema kuwa amesikitishwa na taarifa hizo kwani ni uzushi na kwamba yeye ni mzima haumwi na akizungumzia ishu ya kutumia unga alikana kutumia madawa ya kulevya.
10 years ago
Bongo518 Feb
Daz Baba: Msiamini yaliyoandikwa, mimi nipo fit
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/TARUKDkBK7oZRGIVKgIWh1dt2uNaHJbToqfyxGMPeK31FY3q7dmX35nA-x2R*qEL2ocQY4Luun-liQZ9oc4yaL6dA73-v9VN/MAMAWEMAh.jpg?width=650)
AFANDE ACHA HIZO, UKWELI UTAMSAIDIA DAZ BABA!