Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daz Baba: Msiamini yaliyoandikwa, mimi nipo fit

Daz Baba amedai kuwa yupo gado kama Zay B tofauti na magazeti ya udaku yalivyoandika miezi ya hivi karibuni. Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, msanii huyo amesema anajiandaa kuja na album yake mpya. Daz Baba ameiambia Bongo5, kuachia kwake album kutawafanya mashabiki wake wapate kazi zake kwa wingi tofauti na kuachia single moja […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Daz Baba amkumbuka Mwangwea

mangweaNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, David Jacob ‘Daz Baba’, amesema video yake mpya itakayofahamika kama ‘Mzigo Viwanjani’ ni kumbukumbu tosha ya marehemu Albert Mangwea.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Daz baba alisema aliweza kumshirikisha Mangwea katika single ya wimbo huo.
“Tulifanya mambo mengi sana na Mangwea, hivyo video hii imekuwa kumbukumbu kwangu,” alisema Daz Baba.
Alisema video hiyo inafanywa chini ya mtayarishaji Lamar, inatarajiwa kukamilika muda...

 

10 years ago

GPL

RAY C AAPA KUMSAIDIA DAZ BABA

Na Hamida Hassan
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameapa kumsaidia mwanamuziki mwenzake David Jacob ‘Daz Baba’ anayedaiwa kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Chanzo chetu cha kuaminika kimeeleza kuwa, Ray C amekuwa akiumizwa na hali aliyonayo Daz Baba na amefanya kila awezavyo hadi kuongea naye ili aanze kutumia dozi ya Methadone ambayo wengi huipata katika Hospitali...

 

9 years ago

Bongo5

Hiki ndicho Daz Baba anachojivunia

Rapper Daz Baba amesema anachojivunia katika muziki wake mpaka sasa ni kiwanja pamoja na muziki wake kuwa mfano kwa wengine. Daz ameiambia Bongo5 leo kuwa haangalii anaingiza pesa kiasi gani ila anaangalia mchango wake kwenye muziki. “Mafanikio yangu kwenye muziki ni kuwa na identity yangu. Muziki wangu umekuwa na mchango sana kwenye muziki huu. Kwenye […]

 

10 years ago

CloudsFM

DAZ BABA AKANA KUTUMIA ‘UNGA’

wiki iliyopita ilisambaa picha ikimuonyesha msanii wa Bongo Fleva aliyekuwa mmoja wa mwanamuziki wa kundi la Daz Nundaz,Daz Baba amechoka na kuonyesha kuwa anaumwa na anahitaji msaada.
Msanii huyo amezungumza na xxl clouds fm alisema kuwa amesikitishwa na taarifa hizo kwani ni uzushi na kwamba yeye ni mzima haumwi na akizungumzia ishu ya kutumia unga alikana kutumia madawa ya kulevya.

 

9 years ago

Bongo5

Ukata waikwamisha taasisi ya Daz Baba

Daz Baba amesema anashindwa kufanya miradi ya maendeleo ya kijamii kupitia taasisi yake ya ‘Tanzania Songa Mbele Daima’ kutokana na taasisi hiyo kukumbwa na ukata wa fedha. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na EATV, muimbaji huyo wa kundi la zamani la Daz Nundaz, alisema tayari ameshajaribu kuzunguka huku na kule ili kupata wadhamini […]

 

10 years ago

GPL

AFANDE ACHA HIZO, UKWELI UTAMSAIDIA DAZ BABA!

SELEMANI Msindi, ndiye msanii wangu bora kabisa wa tungo za kiume, zinazopeleka ujumbe moja kwa moja pasipo mafumbo na kama itabidi liwe fumbo, kwa wanazuoni, ni rahisi mno kujua mlengwa. Wengi wanamfahamu kama Afande Sele, kijana wa pale Morogoro ambaye wakati f’lani akitafuta maisha, aliwahi kujaribu kupata ajira katika Jeshi la Polisi, chanzo hasa cha jina lake hili la kisanii. Kati ya wasanii wakubwa ninaowafahamu kwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kajala:Nipo Kimya Lakini Mimi Ni Team Magufuli!

ALESELEMA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kutoonekana kwake kwenye ushabiki wa vyama na wagombea kama wasanii wengine si kwamba hana ushabiki lakini moyoni mwake yupo Team ya Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa pamoja na mbwembwe za watu kujiweka wazi kuhusu chama na wagombea wanaowakubali, yeye mambo yake ni kimyakimya kama alivyo mgombea wake wa urais kupitia chama hicho.

“Nimekuwa kimya kwa muda mrefu...

 

9 years ago

GPL

KAJALA NIPO KIMYA LAKINI MIMI NI TEAM MAGUFULI!

Imelda mtema ALESELEMA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kutoonekana kwake kwenye ushabiki wa vyama na wagombea kama wasanii wengine si kwamba hana ushabiki lakini moyoni mwake yupo Team ya Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).....Soma zaidi====>http://goo.gl/k2ow2Q

 

9 years ago

Bongo5

Daz Baba adai wasanii wengi wa Bongo ‘Wanafeki maisha’

Daz Baba akiwa kwenye mazishiDaz Baba amewataka wasanii kuacha ‘kufeki’ maisha yao ili waonekane wanaishi maisha mazuri wakati hali ni mbaya! Daz amesema wasanii wanaofanya hivyo ipo siku wataaibika. “Mimi naishi maisha ya ukweli, mimi sidanganyi nina Hummer wakati sina gari, mimi sina maisha hayo,” Daz alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Hatutakiwi kuishi maisha ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani