Kajala:Nipo Kimya Lakini Mimi Ni Team Magufuli!
ALESELEMA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kutoonekana kwake kwenye ushabiki wa vyama na wagombea kama wasanii wengine si kwamba hana ushabiki lakini moyoni mwake yupo Team ya Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa pamoja na mbwembwe za watu kujiweka wazi kuhusu chama na wagombea wanaowakubali, yeye mambo yake ni kimyakimya kama alivyo mgombea wake wa urais kupitia chama hicho.
“Nimekuwa kimya kwa muda mrefu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zcg5CJIee4-405Sr*quixWJoC5i*UD5GH8g2aBq6GQG7ZQdTAi5ne5KLskVF3*COyWdcqsV5XUIKZZLliJCR8UqN-kdMMGcZ/KajalaMasanja.jpg?width=650)
KAJALA NIPO KIMYA LAKINI MIMI NI TEAM MAGUFULI!
9 years ago
Mtanzania21 Aug
Lowassa, Magufuli kimya kimya
Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu, Dar es Salaam
ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kampeni za wagombea urais, wabunge na madiwani nchini, leo wagombea hao wanatarajiwa kurudisha fomu zao kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wagombea wawili wa urais ambao wamekuwa na nguvu katika kinyang’anyiro hicho, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa anayewakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
Bongo518 Feb
Daz Baba: Msiamini yaliyoandikwa, mimi nipo fit
10 years ago
GPLFASDO YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA ‘NA MIMI NIPO- ONLINE ARTS & SCIENCE COMPETITION’
10 years ago
Bongo527 Sep
TID: Sipati tu support lakini mimi ni msanii wa kimataifa tayari
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2Nh3gb4y7P3bjYmKtzOedbsAoub5KlNxrbVQIjJRvIi7O2OJRQTMjVmMegfMzE6sa1W7MIgrn8ShLrkowaRq0TV/1kajala21590x590.jpg?width=650)
KAJALA: MWANANGU ANAJISIKIA VIBAYA MIMI KUITWA MALAYA
10 years ago
Dewji Blog12 Jun
Balozi Dkt. Diodorus Buberwa mgeni rasmi katika utowaji wa zawadi kwa washindi wa “Na Mimi Nipo- Online Arts & Science Competition”
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.
Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Urusi nchini, Alexander Tsykunov na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande.
Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akizungumza jambo wakati wa sherehe hizo.
Mratibu wa shindano hilo, Joyce Msigwa...
10 years ago
Bongo525 May
Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala
10 years ago
Bongo Movies25 May
Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...