KAJALA: MWANANGU ANAJISIKIA VIBAYA MIMI KUITWA MALAYA
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2Nh3gb4y7P3bjYmKtzOedbsAoub5KlNxrbVQIjJRvIi7O2OJRQTMjVmMegfMzE6sa1W7MIgrn8ShLrkowaRq0TV/1kajala21590x590.jpg?width=650)
Staa wa Bongo Muvi, Kajala Msanja katika pozi. Maisha yanabadilika kwa spidi ya ajabu ndiyo maana ukweli wa leo unaweza kuwa uongo wa kesho! Kwa kitambo kirefu mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu walikuwa kama kumbikumbi. Marafiki wa kufa na kuzikana. Sasa mambo yamebadilika. Walizoea kulala hadi kitanda kimoja. Walikula na kunywa, walifanya kazi pamoja. Jioni walikwenda kujirusha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi15 Nov
MUHITA : Mwanamke ukiingia katika siasa kubali kuitwa malaya
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Kajala: Mwanangu Paula ni mlevi wa kuogelea
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul akiwa anaogelea na mwenzie.
Musa Mateja
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul anadaiwa kuwa mlevi wa kuogelea ambapo kila wikiendi amekuwa akimlazimisha mama yake ampeleke bichi.
Mtu wa karibu wa Kajala aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini aliliambia Ijumaa kuwa, Paula amekuwa akimsumbua mama yake ampeleke bichi kila ifikapo mwisho wa wiki.
“Yaani yule mtoto ni mlevi wa kuogelea, kila wikiendi lazima...
10 years ago
Bongo Movies31 May
Kajala: Simruhusu Mwanangu Paula Awe na Simu
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hawezi kumruhusu binti yake Paula kumiliki simu ya mkoni kwasasa.
Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.
Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye mtandao picha wa Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.
“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani...
9 years ago
Bongo Movies08 Sep
Kajala:Nipo Kimya Lakini Mimi Ni Team Magufuli!
ALESELEMA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kutoonekana kwake kwenye ushabiki wa vyama na wagombea kama wasanii wengine si kwamba hana ushabiki lakini moyoni mwake yupo Team ya Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa pamoja na mbwembwe za watu kujiweka wazi kuhusu chama na wagombea wanaowakubali, yeye mambo yake ni kimyakimya kama alivyo mgombea wake wa urais kupitia chama hicho.
“Nimekuwa kimya kwa muda mrefu...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zcg5CJIee4-405Sr*quixWJoC5i*UD5GH8g2aBq6GQG7ZQdTAi5ne5KLskVF3*COyWdcqsV5XUIKZZLliJCR8UqN-kdMMGcZ/KajalaMasanja.jpg?width=650)
KAJALA NIPO KIMYA LAKINI MIMI NI TEAM MAGUFULI!
10 years ago
Bongo525 May
Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala
10 years ago
Bongo Movies25 May
Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya
UTEUZI wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...