Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUHITA : Mwanamke ukiingia katika siasa kubali kuitwa malaya

Mwanamke ukiingia kwenye siasa kubali kuitwa Malaya. Jina hili siyo geni kwa mwanamke yeyote mwenye uwezo ambaye amewahi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa iwe ndani ya vyama au nje kwenye umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAJALA: MWANANGU ANAJISIKIA VIBAYA MIMI KUITWA MALAYA

Staa wa Bongo Muvi, Kajala Msanja katika pozi. Maisha yanabadilika kwa spidi ya ajabu ndiyo maana ukweli wa leo unaweza kuwa uongo wa kesho!
Kwa kitambo kirefu mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu walikuwa kama kumbikumbi. Marafiki wa kufa na kuzikana. Sasa mambo yamebadilika.
Walizoea kulala hadi kitanda kimoja. Walikula na kunywa, walifanya kazi pamoja. Jioni walikwenda kujirusha...

 

11 years ago

Michuzi

PPF YAANDIKISHA WANACHAMA WAPYA KATIKA TAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA LINALOENDELEA KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE

Mama Asha Bilali akimkabidhi Cheti Cha Udhamini kwa Meneja Mahusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF katika tamasha la wanawake na akiba linaloendelea kufanyika Katika ukumbi wa Dar Live wilaya ya Temeke ,Jijini Dar Es Salaam. Meneja mahusiano na Masoko wa mfuko wa pensheni wa PPF Bi Lulu Mengele akitoa hotuba fupi kwa washiriki waliohudhuria tamasha la wanawake na akiba ambapo PPF ilishiriki ili kuweza kutoa elimu kwa Washiriki kuweza kujua umuhimu wa kuchangia na mfuko wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

“Ukiingia Kichwakichwa Bongo Movies, Unaondoka na Ngoma”

Staa anayechipukia vizuri ndani ya Bongo Movies, Suzan  Odero  ‘Taiya’ amefunguka kuwa kama mtu unaingia kwenye tasnia ya filamu kichwakichwa au bila kujitambua lazima uondoke na gonjwa hatari la Ukimwi (ngoma).

Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Taiya alisema kuwa adha hiyo inawakuta sana wasanii ambao ndiyo kwanza wanataka kuingia kwenye tasnia ya filamu ili kufanikisha azma yao lazima watoe rushwa ya ngono ndiyo hapo wanapokutana na tatizo hilo.

“Jamani kama mtu siyo muangalifu...

 

10 years ago

GPL

UKIINGIA KICHWAKICHWA BONGO MOVIES, UNAONDOKA NA ‘NGOMA’

Imelda Mtema
MSANII anayechipukia vizuri Bongo Movies, Suzan  Odero  ‘Taiya’ amefunguka kuwa kama mtu unaingia kwenye tasnia ya filamu kichwakichwa au bila kujitambua lazima uondoke na gonjwa hatari la Ukimwi (ngoma). Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Taiya alisema kuwa adha hiyo inawakuta sana wasanii ambao ndiyo kwanza wanataka kuingia kwenye tasnia ya filamu ili kufanikisha azma yao lazima watoe...

 

9 years ago

GPL

AUNTY LULU: WASTARA KUBALI YAISHE

Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.  Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke katika ulinzi wa amani

>Siyo wanaume peke yao wanaokwenda vitani kusaidia kuleta amani, wapo wanawake kati yao. Wanawake tena warembo wamekuwa wakivaa sare za jeshi na kusonga mstari wa mbele kusaidia kuleta amani katika nchi mbalimbali.

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-3

Kama tulivyokuwa tukipeana elimu ya afya zetu wiki zilizopita, huu  pia ni mwendelezo wa mada ya vimbe katika kizazi cha mwanamke ambapo leo nitaelezea athari zake.  Mara nyingi mwanamke anagundulika na tatizo la Fibroid kama ataenda hospitali kwa lengo la kutafuta ujauzito, niwakumbushe wasomaji kuwa kama unaona una  maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa muda mrefu, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kuvurugika kwa...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-2

Aina za uvimbe wa Fibroid
Fibroid zinatofautishwa kutokana na sehemu ilipotokea. Zipo zinazotokea ndani ya mji wa mimba na nyingine zinatokea kwenye kuta za nje ya mji wa mimba. Msomaji tambua kuwa karibu asilimia 75 ya wanawake wenye Fibroid hawajui kama wana tatizo hilo. Si rahisi mtu kuona dalili na kutambua mara moja kuwa ana tatizo la Fibroids. Utambuzi wa dalili za Fibroid hutegemea ukubwa wake na mahali zilipo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani