Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-2

Aina za uvimbe wa Fibroid
Fibroid zinatofautishwa kutokana na sehemu ilipotokea. Zipo zinazotokea ndani ya mji wa mimba na nyingine zinatokea kwenye kuta za nje ya mji wa mimba. Msomaji tambua kuwa karibu asilimia 75 ya wanawake wenye Fibroid hawajui kama wana tatizo hilo. Si rahisi mtu kuona dalili na kutambua mara moja kuwa ana tatizo la Fibroids. Utambuzi wa dalili za Fibroid hutegemea ukubwa wake na mahali zilipo kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-3

Kama tulivyokuwa tukipeana elimu ya afya zetu wiki zilizopita, huu  pia ni mwendelezo wa mada ya vimbe katika kizazi cha mwanamke ambapo leo nitaelezea athari zake.  Mara nyingi mwanamke anagundulika na tatizo la Fibroid kama ataenda hospitali kwa lengo la kutafuta ujauzito, niwakumbushe wasomaji kuwa kama unaona una  maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa muda mrefu, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kuvurugika kwa...

 

11 years ago

GPL

TAMBUA AINA TOFAUTI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI CHA MWANAMKE-3

Wiki zilizopita nilijadili kuhusu Fibroids, Ovarian cysts yaani uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya uzazi na tatizo la mwanamke kuwa na vijivimbe vingi vidogo vidogo kwenye vifuko vya mayai ya uzazi, tatizo ambalo kitaalamu hujulikana kama Polycystic Ovarian Syndrome ( PCOS). Leo nitamalizia somo hili. Leo ninamalizia somo letu ambalo linahusu kutambua aina mbalimbali za uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke. Salpingitis
Hili ni...

 

11 years ago

GPL

MAGONJWA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI CHA WANAWAKE

Kwa wanawake tatizo lao kubwa ni ‘Fibroid’ ambao ni uvimbe katika sehemu za uzazi (uterus) ambapo hutengenezwa na kambakamba zilizofungamana yaani muscle fibre. Fibroid huanza kwa ukubwa kama punje ya njugu mawe lakini huweza kukua na kuwa kama boga. Fibroid hupatikana zaidi kwa wanawake wa umri kati ya miaka 30 na 40 na hupungua ukubwa mara tu wanapoingia katika umri wa utu uzima, ingawa sababu au chanzo hasa cha...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE WA KIZAZI (UTERINE FIBROID)

Fibroid ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii ya uvimbe bado hakijulikani lakini ni tatizo linalosumbua zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa.
Umri wa kuzaa ni ule kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa kuzaa. Umri wa kuvunja ungo ni kati ya miaka kumi na mbili hadi kumi na tano, hapa tunategemea mwanamke anaweza kuvunja ungo...

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa za nywele zinazosababisha uvimbe wa kizazi kwa wanawake

Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.

 

9 years ago

GPL

FAHAMU KUHUSU UVIMBE KWENYE OVARI KWA MWANAMKE-3

WIKI mbili zilizopita tulianza kupeana elimu ya kutusaidia kufahamu juu ya tatizo la uvimbe kwenye ovari za mwanamke. Tuliangalia umuhimu wa ovari na kazi zake pia tukagusia kwamba kama ovari hazitakuwa katika ubora wake ni rahisi mwanamke kukosa mzunguzo bora wa hedhi. Leo tuangalie sababu zinazosababisha mwanamke kukumbwa na tatizo hili la uvimbe kwenye ovari.
Zipo sababu nyingi ambazo ni chanzo cha mwanamke kupata tatizo...

 

9 years ago

GPL

FAHAMU KUHUSU UVIMBE KWENYE OVARI KWA MWANAMKE-4

Nikukaribishe mpenzi msomaji katika ukurasa huu wenye elimu ya kukupa ufahamu juu ya afya zetu. Kwa wiki kadhaa tumekuwa tukipeana elimu juu ya uvimbe katika ovari za mwanamke. Tumeangalia aina za uvimbe pia tukaangalia dalili za mwanamke mwenye tatizo hili la uvimbe kwenye ovari. Leo ningependa tuangalie madhara ya uvimbe huo kwa mwanamke mjamzito.
Tatizo la uvimbe kwenye mayai ya mwanamke wakati wa ujauzito pia hutokea. Mara...

 

9 years ago

GPL

FAHAMU KUHUSU UVIMBE KWENYE OVARI KWA MWANAMKE

MSOMAJI karibu tena kwenye ukurasa huu ambao tumekuwa tukipeana elimu juu ya matatizo mbalimbali ambayo yanaisumbua jamii yetu na ulimwengu kwa jumla. Leo ningependa nitoe utangulizi wa mada ambayo itakuwa ikiwekwa katika ukurasa huu kwa majuma kadhaa yajayo. Mada yenyewe inahusu tatizo la uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovari).Watu wengi wamekuwa wakisikia wengine yamewakuta na wengine hawajui lolote kuhusu tatizo hili. Niweke...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uvimbe kwenye mfuko wa mayai wa mwanamke (ovarian cyst)

KARIBU katika kona hii ya afya ili uweze kujua mengi kuhusiana na afya yako. Leo tutaangalia tatizo la uvimbe kwenye mfuko wa mayai kwa mwanamke, kwa kingereza inaitwa (ovarian cyst)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani