UKIINGIA KICHWAKICHWA BONGO MOVIES, UNAONDOKA NA ‘NGOMA’
![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo4rAHgbh9aO6aMwVcPNBhKnBRwaCQrJMlqopI*YVMUGkyEKCUG84wlc88*BnNSED9aC-RPUVcLyFkpVwrGTAvJp/rgh.gif?width=650)
Imelda Mtema MSANII anayechipukia vizuri Bongo Movies, Suzan Odero ‘Taiya’ amefunguka kuwa kama mtu unaingia kwenye tasnia ya filamu kichwakichwa au bila kujitambua lazima uondoke na gonjwa hatari la Ukimwi (ngoma). Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Taiya alisema kuwa adha hiyo inawakuta sana wasanii ambao ndiyo kwanza wanataka kuingia kwenye tasnia ya filamu ili kufanikisha azma yao lazima watoe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
“Ukiingia Kichwakichwa Bongo Movies, Unaondoka na Ngoma”
Staa anayechipukia vizuri ndani ya Bongo Movies, Suzan Odero ‘Taiya’ amefunguka kuwa kama mtu unaingia kwenye tasnia ya filamu kichwakichwa au bila kujitambua lazima uondoke na gonjwa hatari la Ukimwi (ngoma).
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Taiya alisema kuwa adha hiyo inawakuta sana wasanii ambao ndiyo kwanza wanataka kuingia kwenye tasnia ya filamu ili kufanikisha azma yao lazima watoe rushwa ya ngono ndiyo hapo wanapokutana na tatizo hilo.
“Jamani kama mtu siyo muangalifu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnvQpNfp2fQ7Gowcb6GH34LOehjpjHpnaDNkm5ySmJF7wy3FkUeign4G*yyRqxUwdA4QbR9hcb9Rjf5SwN3xQH6/BONGOMUVI.jpg?width=650)
BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-xZM8uPM5pV-OEZ7vey46gBK7Kfm5Hz3SNg56amNRokRBfLbRUy0IaFraNnh5Hz9CfmQZf7zCkezgPqa4ZJrpBl/bongomuvi.jpg)
BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUm3Y9acgtPy3wK9tW2h2wOkri2efWEXvabTqhRheB*NuZPdrpT3TF73otn*f0pafpVAvZ4RwoMMlEMTsrSXCMgb/index.jpg?width=650)
BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?
11 years ago
GPLNIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg3uG8-sH*TkjLFCCUS*F0nFqtuHa5dY5tgPM30eAmvG-lWJZdB03ybBSUnksBOTAeifkbwxKpCTEMLtKLjn-gEy/11.jpg)
BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!
10 years ago
TheCitizen19 Dec
COVER: Not much for bongo movies at the AMVCA
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Kitale Awachana ‘Bongo Movies’
Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.
Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho...
10 years ago
Bongo Movies06 May
Makamua Kuibukia Bongo Movies
Staa wa Bongo Fleva kutoka kundi la wakali kwanza, anatarajia kuigiza filamu ya maisha ya muziki itakayoitwa “Bongo na Fleva”.
Akiongea na E-News ya EATV, Makamua alisema filamu hiyo itahusisha pia mastaa wengine wakubwa wa Bongo Flava na kwamba mpaka sasa mradi huo umekwisha kamilika.
Karibu sana.