AUNTY LULU: WASTARA KUBALI YAISHE
![](http://api.ning.com:80/files/13SlHjEdb8PSRoN6GPV4o-F9YnZYxAyPbprSWoOFOYBBLJXPCmWplWn-I3UiUK0G4B6Er4vyZAkCjxwhRsk*4aH3C-*fxIwg/unnamed1.jpg?width=650)
Gladness Mallya BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo. Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzfsG8ArHAUlRWuVdSAnM6mCFMX6c0*IyPl91JGqZLuukPuKpaL7edfzNKC4sa5YuF-cgirSSQlgj*zNDq-kjmyc/wastaralulu.jpg)
AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-O5-YbPMRe24/Xu-NcOK7KSI/AAAAAAACOEw/GbcYspEzT7YvxJhaqbQnPtBZU73UKDv_ACLcBGAsYHQ/s72-c/HS.jpg)
HOJA MTAMBUKA: MEMBE ACHANA NA NDOTO KUBALI YAISHE, MUDA SI RAFIKI KWAKO TENA NA HUNA UBAVU WA KUMNYANYUA DK. MAGUFILI KWENYE KITI CHA URAIS
![](https://1.bp.blogspot.com/-O5-YbPMRe24/Xu-NcOK7KSI/AAAAAAACOEw/GbcYspEzT7YvxJhaqbQnPtBZU73UKDv_ACLcBGAsYHQ/s200/HS.jpg)
Kwa uwezo na maarifa ya Membe kwa taifa alipaswa kuwa mstari wa mbele kueneza mambo mazuri yanayofanywa na serikali na si kuwa sehemu ya kuanzisha taharuki zisizokuwa na mantiki kwa taifa na hasa sisi vijana, ambao tunaamini wao ndio wakutuongoza vyema na si...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvVcZCTfMENVmKX0Aldso14kWaLdo8NuIWdt3wl0uzsrgPjd*HxtEkl6Lnk9ebrCQCie7In2s95EMlCNW5fJDoC/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU KIPIGO CHAMTULIZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSX90SstcC7p39vVr0kH5Z6ZASJk9v*LvSTFPbVTI3efQqnwsNdkjfpNOPIRM7O*7TjiSJJFjOOHSWR5uE3rAt7r/FRONTJUMAMOSI70.gif?width=650)
AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MCtjzthy82mut*Onc36FQOlq*Ppkpy6D68ppgDzaxAN*5HCRg*DcZ24sFYRrHPHbqX4pjfSWLYllZalvPW9SHXL/timthumb.php.jpg?width=650)
AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6arjMUpHESU7X9gpp9wnNZImGDrFUbOEs-YJbomTzL5-PmallHqHurvKXsgvylXaw91GMvIU1xlnNfnKmnBURbF/gf.jpg?width=650)
AUNTY LULU: NIMEKAMATIKA KIMAPENZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PK5dk0PN1DUUbERqne81EHmMc2hCgGnEuRZ57hrxwbdsGkaI-D-04ffhjR5lZ88fS40D3HoJB*8Euj-AHnKF0Y1/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Bondi, Aunty Lulu Wapashana
Mastaa wa Bongo Movies na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...