Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TID: Sipati tu support lakini mimi ni msanii wa kimataifa tayari

Muimbaji wa ‘Kiuno’, TID amesema tangu siku nyingi yeye ni msanii wa kimataifa ingawa amekuwa hapewi support anayostahili kupata. Akiongea na Bongo5, muimbaji huyo ambaye hivi karibuni alirekodi wimbo na msanii wa Afrika Kusini, Tumi, amesema kile wanachokifanya wasanii wapya wanaotaka kwenda international kwa sasa, yeye alikifanya miaka mingi iliyopita. “Unajua kama kufanya muziki international […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Kajala:Nipo Kimya Lakini Mimi Ni Team Magufuli!

ALESELEMA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kutoonekana kwake kwenye ushabiki wa vyama na wagombea kama wasanii wengine si kwamba hana ushabiki lakini moyoni mwake yupo Team ya Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa pamoja na mbwembwe za watu kujiweka wazi kuhusu chama na wagombea wanaowakubali, yeye mambo yake ni kimyakimya kama alivyo mgombea wake wa urais kupitia chama hicho.

“Nimekuwa kimya kwa muda mrefu...

 

9 years ago

GPL

KAJALA NIPO KIMYA LAKINI MIMI NI TEAM MAGUFULI!

Imelda mtema ALESELEMA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kutoonekana kwake kwenye ushabiki wa vyama na wagombea kama wasanii wengine si kwamba hana ushabiki lakini moyoni mwake yupo Team ya Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).....Soma zaidi====>http://goo.gl/k2ow2Q

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray:Mimi si Msanii wa Mlipuko

Staa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray the Greatest’ amefunguka kwa kusema kuwa sinema zake si kuangalia filamu gani imeingia sokoni na kufanya vizuri kwa staili fulani na yeye akakurupuka na kutengeneza filamu kwa mlipuko.

“Mara nyingi wapenzi wa sanaa si rahisi wanapenda nini? Lakini ninawajua wapenzi wa filamu zangu hivyo inakuwa vigumu sana kujiingiza katika filamu za mlipuko, baada ya filamu moja kufanya vizuri, basi kila mtu anatoka na staili hiyo hiyo,”anasema Ray.

“Tumeshuhudia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki

Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.

Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.

Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji,...nitafurahi kama ukija kivingine, uwe tofauti na kina shilole na H mama.

Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

Bongo5

Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii mchanga (Exclusive Audio)

Msanii mkongwe wa Uganda, Jose Chameleone, amekanusha ripoti zilizoandikwa kwenye mtandao wa BigEye wa Uganda kuwa amemuomba Diamond Platnumz wafanye collabo. Chameleone ameiambia Bongo5 kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za msanii T.I alipowasili nchini tayari kutumbuiza Serengeti Fiesta 2014

1 (8)

Msanii wa kimataifa wa muziki wa Hip pop, Clifford Harris, T I akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa JK Nyerere, tayari kwa onyesho na Serengeti Fiesta 2014, linalofanyika leo Leaders Club jijini Dar es Salaam.

3 (1)

4

 

10 years ago

Mwananchi

Ndoto zangu ni kuwa msanii wa kimataifa

Burudani ni suala muhimu katika maisha ya kila siku, kwa upande mwingine pia ni ajira kwa baadhi ya vijana . Kundi kubwa la vijana limekuwa likitamani kuingia katika fani hiyo na kuwa wasanii ili

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii waliofanikiwa kimataifa wawe tayari kuwapa wengine ‘connection’ — Bayo

Rapper na msanii wa dancehall, Bayo amekiri kuwa muziki wa Tanzania umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika jukwaa la kimataifa lakini ametaka wasanii waliotangulia kuwa tayari kuwaonesha njia wasanii wengine pia. Bayo ambaye pia ni mfanyakazi wa taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya vijana visiwani Zanzibar amesema kwa kufanya hivyo Tanzania itakuwa na wawakilishi […]

 

10 years ago

Bongo5

T.I ndiye msanii wa kimataifa atakayetumbuiza kwenye Fiesta ya Dar

Hatimaye msanii wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza kwenye Fiesta ya Dar mwezi ujao ametajwa, ni rapper Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I wa Marekani. T.I atashare jukwaa na wasanii wa Bongo katika show ya mwisho ya msimu wa Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders October 18. T.I kwa sasa anafanya vizuri na single yake […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani