Wasanii waliofanikiwa kimataifa wawe tayari kuwapa wengine ‘connection’ — Bayo
Rapper na msanii wa dancehall, Bayo amekiri kuwa muziki wa Tanzania umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika jukwaa la kimataifa lakini ametaka wasanii waliotangulia kuwa tayari kuwaonesha njia wasanii wengine pia. Bayo ambaye pia ni mfanyakazi wa taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya vijana visiwani Zanzibar amesema kwa kufanya hivyo Tanzania itakuwa na wawakilishi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies24 Dec
Vanessa Mdee Afunguka Sababu ya Kung’ara Kimataifa Kuliko Wasanii Wengine wa Kike wa Kibongo
Staa wa Bongo Fleva,Vanessa Mdee ‘V Money’ amefunguka sababu za kung’ara kwa mziki wake na kubahatika kupata tuzo kadhaa za Kimataifa kuliko wasanii wengine wa kike wa Kibongo.
“Ujue kuna tuzo zingine zinatofautiana kuna zingine wapo wasanii wa Kitanzania ambao tuzo fulani wametajwa, na zingine hawakubahatika kuwepo,ukweli ni kuwa wale wanaoandaa tuzo pia wanaangalia ni msanii gani anafahamika zaidi kutoka nchi fulani yaani msanii anakuwa anajiuza mwenyewe zaidi Kimataifa,’’Alisema Vanessa...
9 years ago
Bongo530 Oct
Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena
![Z Anto na Babu Tale](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Z-Anto-na-Babu-Tale-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo521 Nov
Barnaba aulezea 2015 kama mwaka aliotengeneza connection za kimataifa
![chameleone and Barnaba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/chameleone-and-Barnaba-300x194.jpg)
Pamoja na changamoto kadhaa, mwaka 2015 umekuwa na mafanikio kwa Barnaba ikiwa pamoja na kufanikisha kurekodi wimbo na msanii wa Uganda, Jose Chameleone.
Barnaba amesema mwaka huu amefanikiwa kujenga msingi nzuri wa muziki wake kwenda kimataifa ambao utampa mafanikio mwakani.
“Huu ni mwaka mzuri, nimefanya vizuri kwa kiasi chake, pia mafanikio yangu makubwa yapo kwenye kutengeneza connection za kwenda kimataifa zaidi,” ameiambia Bongo5.
“Nina matumaini mwaka 2016 Barnaba atakuwa Barnaba...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Best Records kuwapa semina wasanii wa muziki
MKURUGENZI wa studio ya Best Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Benjamin Nzogu, amesema wanakusudia kuanza kutoa semina kwa wasanii wote wanaofika kurekodi nyimbo zao kwao, hasa kwa wale wanaoonekana...
9 years ago
Bongo525 Nov
Hanscana aenda Afrika Kusini kutafuta connection za kimataifa na kuongeza ujuzi kwa Justin Campos (picha)
![Hanscana na campos-5](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Hanscana-na-campos-5-300x194.jpg)
Muongozaji na mtayarishaji wa video Hanscana yuko nchini Afrika Kusini, alikoenda kwaajili ya kuongeza ujuzi pamoja na kutafuta connection za kuwezesha kazi zake zifike kwenye vituo vya runinga vya kimataifa.
Hanscana akiwa an Justin Campos na mkewe Candice
Wiki hii Hanscana amekuwa akipost picha mbalimbali Instagram akiwa na director Justin Campos na mke wake Candice Campos ambaye pia ni producer wa video wa kampuni ya Gorilla Films.
Hanscana amepiga story na Bongo 5 na ametueleza...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-q9wEbkZT2Lw/VYCPHCXaMEI/AAAAAAAHgLw/vcYLZV4wVVs/s72-c/1...jpg)
BASATA LAWATAKA WASANII KUWA TAYARI KUKOSOLEWA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa wito kwa wasanii kuacha tabia ya kulewa umaarufu na kuchukia pale wanapokosolewa kwani kazi yoyote ya Sanaa lazima ikosolewe ili iwe bora na yenye kuvutia.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Lebejo Mngereza wakati akizungumza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA linalofanyika kwa mwezi mara mbili siku ya Jumatatu kwenye Ukumbi wa Baraza hilo ulioko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es...
10 years ago
Bongo512 Mar
Diddy kutengeneza ngoma za Kanye West na wasanii wengine
10 years ago
Bongo527 Sep
TID: Sipati tu support lakini mimi ni msanii wa kimataifa tayari
10 years ago
Bongo501 Jul
Afande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni