Lowassa, Magufuli kimya kimya
Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu, Dar es Salaam
ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kampeni za wagombea urais, wabunge na madiwani nchini, leo wagombea hao wanatarajiwa kurudisha fomu zao kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wagombea wawili wa urais ambao wamekuwa na nguvu katika kinyang’anyiro hicho, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa anayewakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Feb
HII NDIYO YANGA NA MBIO ZA KUUSAKA UBIGWA KIMYA KIMYA TU UNAISOMA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-2ske2H6ibPs%2FVOZJSSyXGaI%2FAAAAAAADZ5A%2FMwgawl1uLNs%2Fs1600%2F1.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-nuzUTtxZEhY%2FVOZJSfqWZaI%2FAAAAAAADZ5E%2F3S76cANil-0%2Fs1600%2F6.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
9 years ago
Bongo528 Sep
Usher afunga ndoa kimya kimya na meneja wake Grace Miguel
10 years ago
Bongo Movies08 Jul
Baada ya Kuficha Ujauzito, Snura Adaiwa Kufunga Ndoa Kimya Kimya
Staa wa Bongo Fleva alieanzia uigizaji, Snura Mushi amedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchumba wake wa siku nyingi ambaye pia ni mzazi mwenziye,DJ maarufu mjini Mbeya,Hunter.
Habari zinasema kuwa katika sherehe ya ndoa hiyo walialikwa watu wachache kutoka kwenye pande mbili za familia ya wanandoa hao na ilifungwa kwa siri jijini Dar.
Kupitia U heard na Soudy Brown amezungumza na Snura ambaye amekana kufunga ndoa,lakini alipoulizwa kama aliweza kuficha mimba hadi alipojifungua je? Hawezi...
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Kerr aibuka Tanga, aisoma African Sports kimya kimya
OSCAR ASSENGA, TANGA NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, juzi ametumia muda wa dakika 90 kukisoma kikosi cha timu ya African Sports “Wanakimanumanu”, wakati ikicheza mchezo wa kirafiki na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Kocha huyo alitua Tanga kimya kimya ili kuweza kukijua vizuri kikosi cha ‘Wana kimanumanu’, kabla hawajakutana kwenye ufunguzi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Septemba 12, mwaka huu.
Mchezo huo wa kirafiki ulimalizika kwa Coastal Union...
9 years ago
Bongo520 Oct
New Music: Kanye West aachia nyimbo 2 mpya kimya kimya – When I See I & Say You Will
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Ugonjwa wa mifupa unaoshambulia kimya kimya
ANNA mwenye umri wa miaka 19, aliendelea kupata nafuu kutokana na ugonjwa wa kujinyima chakula, alianguka gafla kutokana na maumivu makali ya mgongo. Alivunjika mifupa miwili ya mgongo, hivyo kimo...
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Avril afunga ndoa kimya kimya
NAIROBI, KENYA
MKALI wa muziki nchini Kenya, Judith Nyambura ‘Avril’, amewashangaza watu kupitia akaunti yake ya Instagram
baada ya ‘kuposti’ picha ambayo inamuonesha kuwa amefunga ndoa.
Tangu Januari mwaka huu, msanii huyo alitangaza kufunga ndoa na mpenzi wake kutoka nchini Afrika Kusini ifikapo Juni, mwaka huu, lakini mipango ikagonga mwamba, akatangaza ifikapo Novemba mwaka huu kila kitu kitakuwa sawa, hata hivyo mipango ikawa sio.
Lakini juzi kupitia mtandao huo wa Instagram, aliweka...
10 years ago
Mtanzania26 May
Lowassa Afichua kimya cha muda mrefu
Charles Mullinda na Jimmy Charles, Dodoma
HATIMAYE Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana alivunja ukimya wa muda mrefu alipofanya mahojiano ya ana kwa ana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari.
Katika mkutano huo,Lowassa aliitumia nafasi hiyo kutangaza msimamo wake wa siasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa aliitumia fursa ya mahojiano hayo, yaliyofanyika nyumbani kwake eneo la Area C mjini hapa, kuwaeleza wahariri kuwa hana mpango wa kuhama CCM licha ya kuwapo...