Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheddy Clever sasa kuanza kutengeneza video, aanzisha Burn Shine Video production

Producer aliyetengeneza hits kibao za Bongo Sheddy Clever wa studio ya Burn Records, ameendelea kutuonesha matunda aliyoyapata kupitia hits nyingi ikiwemo iliyompa ‘mileage’ kubwa huenda kuliko yoyote aliyowahi kutengeneza ‘Number 1’ ya Diamond Platnumz. Baada ya kuiboresha studio yake ya audio miezi michache iliyopita hivi sasa amefungua kitengo kingine cha kutengeneza video. Kupitia Instagram Sheddy […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Sheddy Clever aja na lebo yake, ‘Burn Records Tanzania’

sheddy na Ne-yo

Mtayarishaji wa wimbo ulioshinda tuzo kibao, Number One wa Diamond Platnumz, Sheddy Clever, ameanzisha lebo yake ya muziki.

sheddy

Kupitia ukurasa wa Instagram, Sheddy Clever ameandika:

Kuna bora kipaji na Kipaji bora. Sasa hawa ni zaidi ya kipaji bora nina imani watafika pale wanapopataka na mimi nitawa support kwa nguvu zangu zote.Naomba itambulike hawa ndio wasanii wangu walio chini ya studio yangu Burnrecordz . Lakini hawawezi fanikiwa bila ya wewe shabiki na mpenzi wa bongofleva kuwapokea na...

 

10 years ago

Bongo5

Sheddy Clever atayarisha wimbo wa Tiwa Savage na KCEE (Video)

Producer wa hit single ya Diamond Platnumz, Number One, Sheddy Clever ametayarisha nyimbo za wasanii wakubwa wa Nigeria, Tiwa Savage na KCEE. Sheddy ambaye ana studio yake iitwayo Burn Records, ameiambia Bongo5 kuwa fursa ya kutayarisha nyimbo za wasanii hiyo imepatikana kutokana na connection aliyofanyiwa na Diamond. “Tayari nimeshafanya kazi na Tiwa Savage na kuna […]

 

9 years ago

Bongo5

Daz Baba aanzisha kampuni ya kutengeneza video, ‘Premiere MK’

Daz-Baba11

Msanii wa kundi la zamani Daz Nundaz, Daz Baba, amefungua kampuni yake ya kufanya video iitwayo ‘Premiere MK.’

Daz-Baba11

Rapa huyo aliyewahi kutamba na wimbo ‘Namba 8’ ameiambia Bongo5 kuwa kampuni hiyo tayari imeshazinduliwa kwa kufanya video ya wimbo wake mpya uitwao Viwanjani.

“Lengo la kampuni yetu ni kusogeza sanaa mbele kwa sababu watu wengi wenye kampuni zao za video wanaringa sana. Kwahiyo tukaamua kuanzisha kampuni yetu ili itusaidie sisi pamoja na wasanii wengine. Kwahiyo kupitia kampuni...

 

11 years ago

TheCitizen

ON THE SPOT: Sheddy Clever

This week Shedy Clever speaks to The Beat:

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheddy Clever: Mashabiki wamemtosa Diamond

PRODYUZA wa mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseb Abdul ‘Diamond Platinum’, Sheddy Clever, amesema Watanzania ndio wamemuangusha msanii huyo katika harakati zake za kuwania tuzo za MTV MAMA....

 

11 years ago

GPL

NAFURAHI KUKOSA TUZO ZA KILI - SHEDDY CLEVER

Na Ibrahim Mussa
PRODYUZA chipukizi wa muziki wa kizazi kipya anayewika kwa sasa, Shedrack Wilcad, maarufu kwa jina la Sheddy Clever, amefurahishwa kitendo cha kutopata tuzo za Killi huku wimbo aliotengeneza ukibeba tuzo nyingi. Akizungumza katika kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online kupitia www.globalpublishers.info alisema ana furaha kwa kuwa watu wanaona anafanya vizuri, licha ya yeye binafsi kukosa tuzo. ...

 

11 years ago

GPL

SHEDDY CLEVER; PRODYUZA ALIYEBEBWA NA NYOTA YA DIAMOND

Prodyuza aliyebebwa na nyota ya Diamond, Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever. KILA mtu ana ndoto zake kichwani, ili kuzibadilisha ndoto hizo kwenye uhalisia inahitajika kujitoa kinagaubaga ndipo mafanikio yatakapoonekana. Nasibu Abdull ‘Diamond’akiwa studio. Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever kama anavyofahamika na wengi naye alikuwa ni prodyuza wa muziki mwenye ndoto zake, alitamani kufanya kazi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond, Jide, Sheddy Clever wamefungua njia

USIKU wa kuamkia Julai 27, macho na masikio ya wapenzi na wadau wa muziki nchini yalihamia nchini Marekani ambapo kulikuwa na utoaji wa tuzo za African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA)...

 

9 years ago

Bongo5

Sheddy Clever aelezea furaha yake kukutana na Bizman studio

Shebby Clever na Bizman

Mtayarishaji wa muziki wa Burn Records, Sheddy Clever ameelezea furaha yake baada ya kutembelewa na mtayarishaji mkongwe wa muziki, Bizman na kumfunza baadhi ya mambo.

Shebby Clever na Bizman

Sheddy ameiambia Bongo5 kuwa ilikuwa ni ndoto yake ya siku nyingi kukutana na mkongwe huyo aliyekuwa akisikiliza ngoma zake tangu akiwa shuleni.

“Bizman ni mtu ambaye namwelewa sana na namkubali sana toka nipo shule kazi zake nazitambua,” amesema Sheddy. “Kwahiyo nilikuwa nikimtafuta siku nyingi sana lakini nilikuwa simpati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani