Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyota wa WIKI: WILLY MATUNDA, mjasiriamali mbunifu wa dodoma


 Msaidizi wa Willy Matunda akiandaa 'duka' la matunda linalotembea nje ya hoteli ya Zahir katika mtaa wa Mtendeni mjini Dodoma. 
 Willy Matunda mwenyewe akiandaa matunda kwa ajili ya wateja wake. Huyu bwana anasifika sio tu kwa kuwa na matunda fresh kila siku pamoja na usafi bali pia kwa kupania kufanya watu wale matunda sana, sio kungoja hadi mtu alazwe hospitali kwanza ndipo ale...
 Duka litembealo la Willy Matnda 
Wateja kibao kwa Willy Matunda ambaye ameihamasisha Globu ya Jamii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KUTANA NA DOREEN PETER NONI MJASIRIAMALI NA MBUNIFU WA MAVAZI NCHINI‏

MOblog: Ulipata nafasi ya kuhudhuria mkutano wa Uchumi duniani (World Economic Forum 2014) hebu tueleze ulipata vipi nafasi ya kuhudhuria? MOblog Tanzania hivi karibuni ilifanya mahojiano na Mjasiriamali na mbunifu wa mavazi nchini Doreen Noni aliyehudhuria mkutano wa Uchumi Duniani uliofanyika huko Davos, Uswisi (World Economic Forum) mwezi uliopita juu ya yote anazungumzia nafasi ya Wanawake, Vijana na Ujasiriamali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunifu nyota kutoka Zanzibari kuandaa onyesho la mavazi

11 Captioned

Zimesalia siku chache ambapo ulimwengu wa mitindo na watanzania kwa ujumla watashuhudia usiku wa staili ambao haujawahi kutokea.  Mbunifu wa kimataifa mwenye makazi Zanzibar Doreen Mashika  kwa kushirikiana na wanamitindo wenye vipaji vya pekee kutoka Tanzania na Kenya pamoja na mtayarishaji kutoka nchini uingereza wanakuletea usiku wa kipekee ujulikanao kama “Fashion Night In by Doreen Mashika” utakaofanyika siku ya tarehe 27 Februari katika hotel ya Hyatt Regency mjini  Dar-es-Salaam....

 

11 years ago

Mwananchi

Matunda yanavyoendesha maisha ya wengi Dodoma

Watu wamekuwa wakihangaika kwa njia mbalimbali ili waweze kuishi. Mojawapo ya biashara ambayo inaonekana kuwaendeshea wengi maisha ni ile ya matunda na wengi huifanya kwa staili tofauti.

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.Picha na John Banda wa Pamoja Blog. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya...

 

10 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?

Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

 

9 years ago

Habarileo

Wiki ya kihistoria Dodoma

HISTORIA mpya inaandikwa wiki hii mkoani Dodoma ambako Bunge la 11 la Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais John Magufuli linatarajiwa kuanza vikao vyake kesho.

 

5 years ago

Raia Mwema

Wiki ya CCM iliyotikisa Dodoma

MISURURU mirefu ya magari, baadhi ya watu kukesha kwenye majumba ya starehe na wengine kulazimika

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo  Mheshimiwa Juma Nkamia (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa maandalizi ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kinachotarajiwa kufanyika Oktoba 14 katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dokta Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi. Mfugaji wa Vipepeo kutoka mkoani  Tanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani