Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wiki ya kihistoria Dodoma

HISTORIA mpya inaandikwa wiki hii mkoani Dodoma ambako Bunge la 11 la Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais John Magufuli linatarajiwa kuanza vikao vyake kesho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.Picha na John Banda wa Pamoja Blog. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya...

 

9 years ago

Michuzi

WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo  Mheshimiwa Juma Nkamia (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa maandalizi ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kinachotarajiwa kufanyika Oktoba 14 katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dokta Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi. Mfugaji wa Vipepeo kutoka mkoani  Tanga...

 

5 years ago

Raia Mwema

Wiki ya CCM iliyotikisa Dodoma

MISURURU mirefu ya magari, baadhi ya watu kukesha kwenye majumba ya starehe na wengine kulazimika

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Habarileo

Ni wiki ngumu wanaowania urais Dodoma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaWAKATI uhai wa Bunge la 10 la Tanzania utamalizika rasmi keshokutwa, ambapo litavunjwa na Rais Jakaya Kikwete, tukio lingine zito linatarajiwa kuutikisa mji huu wiki hii.

 

10 years ago

Vijimambo

Maajar Trust Wiki ya Elimu Dodoma


Waziri Mkuu Mweshmiwa Mizengo Pinda akijadili jambo na Ambassador Bertha Semu-Somi(Mama madawati) na Project Officer Kayemarie Bukila alipotembelea Banda la Hassan Maajar Trust 
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Dr.Shukuru Kawambwa alipotembelea banda la Hassan Maajar Trust
Naibu waziri Elimu-Tamisemi Mweshmiwa Kassim M Majaaliwa alipotembelea kibanda cha hassanmaajartrust 
Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mweshmiwa Anna Kilango akimsikiliza Mama Madawati(Bertha...

 

10 years ago

Michuzi

HESLB katika Wiki ya Elimu Dodoma

WOTE TUNATAKA KUSOMA HADI CHUO KIKUU! Ndivyo wanavyosema wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru mjini Dodoma baada ya kuulizwa nani kati yao angependa kusoma hadi chuo kikuu na Ofisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Veneranda Malima (kulia) jana (Jumanne, Mei 12, 2015). Wanafunzi hao na walimu wao walitembelea banda la HESLB ambayo inashiriki katika maonesho ya Wiki ya Elimu yanayaoendelea katika viwanja vya Jamhuri mjini Dodoma. Mwalimu...

 

11 years ago

GPL

WIKI YA ELIMU YAFANA MJINI DODOMA

Askari wa Bend kutoka JKT wakiongoza maandamano ya wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali za Mkoa wa Dodoma.Maandamano yaliyoanzia Viwanja vya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere hadi Uwanja wa Jamhuri. Kikosi cha…

 

10 years ago

Habarileo

NEC CCM kukutana Dodoma wiki hii

SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakayofanya vikao vyake mjini hapa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Vijimambo

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DODOMA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015.Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani