Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunifu nyota kutoka Zanzibari kuandaa onyesho la mavazi

11 Captioned

Zimesalia siku chache ambapo ulimwengu wa mitindo na watanzania kwa ujumla watashuhudia usiku wa staili ambao haujawahi kutokea.  Mbunifu wa kimataifa mwenye makazi Zanzibar Doreen Mashika  kwa kushirikiana na wanamitindo wenye vipaji vya pekee kutoka Tanzania na Kenya pamoja na mtayarishaji kutoka nchini uingereza wanakuletea usiku wa kipekee ujulikanao kama “Fashion Night In by Doreen Mashika” utakaofanyika siku ya tarehe 27 Februari katika hotel ya Hyatt Regency mjini  Dar-es-Salaam....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yawika tena onyesho la mavazi london

Mwaka jana mwezi kama huu wa Februari, ilikuwa mara ya kwanza Tanzania kuonyesha mavazi yake katika tamasha maarufu la kimataifa la mavazi London

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na mbunifu mavazi Linda Bezuidenhout (LB) Pt II

Karibu katika sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout
 Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote
KARIBU

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunifu wa mavazi ya watu maarufu aliyejiua kwa madeni

MBUNIFU wa mitindo na mwanamitindo maarufu wa Marekani, L’Wren Scott, alikutwa amefariki dunia nyumbani kwake hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi jijini Manhattan, New York, inasema Laura ‘Luann’...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA

1
WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. (Picha Zote: AtuzaNkurlu-SheriaNgowi Brand).2Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.3Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi amvalisha Rais mpya wa Zambia

Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum  (Presidential suit) iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini Tanzania Sheria Ngowi akikagua gwaride rasmi kabla ya kuapishwa katika sherehe za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini Lusaka-Zambia. Guy Scott, of Scottish.    

Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential suit)iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani