Tanzania yawika tena onyesho la mavazi london
Mwaka jana mwezi kama huu wa Februari, ilikuwa mara ya kwanza Tanzania kuonyesha mavazi yake katika tamasha maarufu la kimataifa la mavazi London
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Mbunifu nyota kutoka Zanzibari kuandaa onyesho la mavazi
Zimesalia siku chache ambapo ulimwengu wa mitindo na watanzania kwa ujumla watashuhudia usiku wa staili ambao haujawahi kutokea. Mbunifu wa kimataifa mwenye makazi Zanzibar Doreen Mashika kwa kushirikiana na wanamitindo wenye vipaji vya pekee kutoka Tanzania na Kenya pamoja na mtayarishaji kutoka nchini uingereza wanakuletea usiku wa kipekee ujulikanao kama “Fashion Night In by Doreen Mashika” utakaofanyika siku ya tarehe 27 Februari katika hotel ya Hyatt Regency mjini Dar-es-Salaam....
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/dGSrT30M87c/default.jpg)
10 years ago
TheCitizen10 Oct
A CHAT FROM LONDON: London welcomes, supports anti-FGM push in Tanzania
10 years ago
Vijimambo20 Sep
YALIYOTOKEA GERMANY YATOKEA TENA LONDON
11 years ago
MichuziBALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA ONYESHO LA PICHA ZA KUCHORA LA JAMBO, TANZANIA
Mariam Osher Mmarekani mchoraji aliyetembelea mbuga za wanyama Tanzania na kubuni uchoraji wa wanyama aliowaona huko Tanzania na kutumia michoro hiyo kuitangaza Tanzania kwa Wamarekani na raia wengine ambao wajawahifika Tanzania kwenye maonesho ya picha zake yaliyofanyika leo Silver Spring, Maryland kwenye ukumbi wa WPG uliopo 8230 Georgia Ave.
Mhe. Liberata Mulamula , Balozi wa Tanzania nchini Marekani (wapili toka kulia) akiwa pamoja na Afisa wa Ubalozi kitengo cha Utalii Bi. Immaculata...
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA ONYESHO LA PICHA ZA KUCHORA LA JAMBO, TANZANIA
10 years ago
Vijimambo03 Nov
MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Tunatunga katiba ya Tanzania kwa mavazi ya kimagharibi!
KUNA vihoja vingi ambavyo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanavifanya kila siku. Kwa ujumla, vikao vya Bunge hilo vimeanza kwa kusuasua. Kulikuwa na uahirishaji wa mara kwa mara ambao...
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Wabunifu wa mavazi waungana kuiombea amani Tanzania
NA CHRISTOPHER MSEKENA
WABUNIFU wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali, Kiki Zimba na Martin Kadinda wameungana kwa ajili ya kufanya onyesho la mavazi la kuiombea amani nchi ‘Fashion For Peace’ kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Onyesho hilo litafanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam kuanzia saa mbili usiku.
“Hekima, Umoja na Amani ndio ngao zetu, ni muhimu kwetu vijana kuhakikisha tunadumisha na kulinda amani yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu,”...