YALIYOTOKEA GERMANY YATOKEA TENA LONDON
Kwa mara nyingine tena, mashabiki wa Diamond Platnumz wameshindwa kumuona akitumbuiza licha ya kumsubiria hadi saa 10 Alfajiri.Awamu hii imetokea jijini London, Uingereza katika show aliyoitangaza kwa kiasi kikubwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tofauti na Stuttgurt, Ujerumani ambako mashabiki walifanya uharibifu mkubwa, mashabiki wa London waliamua kuwa wapole tu na kurejea majumbani mwao na hasira walizozimeza vifuani.saeedderby: I was there brov it was maad trust me, even...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Tanzania yawika tena onyesho la mavazi london
11 years ago
Michuzi01 Mar
1st African Tourism Exhibition in Germany „Soul & Spirit of AFRICA“ 17th - 20th July (4days) Tübingen, Germany
Ladies and Gentlemen,Exhibitors,
It's an honour for me to inform you about the 1st African Tourism tradefair in Germany "Soul and Spirit of Africa " with focused on AFRICA ONLY! This tradefair is initiated and organized by AfrikAktiv org. in cooperation with chamber of commerce and Industry , International African Festival Tübingen and supported by African Ambassadors in Germany, Lord major and city of Tübingen / Reutlingen 1st African Tourism Exhibition tradefair "Soul and Spirit of...
10 years ago
TheCitizen10 Oct
A CHAT FROM LONDON: London welcomes, supports anti-FGM push in Tanzania
9 years ago
TheCitizen27 Nov
A CHAT FROM LONDON: Wet afternoon, junkie hobbling on a London street
9 years ago
Mwananchi22 Nov
KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli
9 years ago
Mwananchi06 Sep
KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu
9 years ago
Habarileo15 Sep
Nape akumbushia yaliyotokea NEC
KATIBU wa CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nauye, ameanika sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutomteua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kuwa mgombea wake urais katika uchaguzi wa mwaka huu, kuwa ni pamoja na kuwa na historia ya kutumia vibaya madaraka yake katika kila ofisi anayopewa.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Kinondoni iepuke yaliyotokea Temeke ugawaji wa viwanja
JUNI 2012 Manispaa ya Temeke iliwatangazia wananchi mpango wa kuuza viwanja 1,800 eneo la Gezaulole, Dar es Salaam kwa ajili ya kujenga maeneo yaliyo rasmi na kuepuka ujenzi holela. Matamanio...
9 years ago
Bongo528 Aug
Video: Round Up (Yaliyotokea kwenye burudani Bongo — August 28)