Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Loga: Ni Azam, Yanga, City

>Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga’ amesema tiketi ya timu yake kufuzu kucheza michuano ya kimataifa ipo mikononi mwa Azam FC, Yanga na Mbeya City.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam, City zatakata

Mabingwa watetezi Ligi Kuu, Yanga na Azam, Mbeya City wameendeleza mbio zao kileleni mwa ligi baada ya kushinda mechi zao za jana dhidi ya Ashanti United, Mtibwa Sugar na Kagera Sugar.

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga cut Azam’s lead, City win

In-form Young Africans reduced Azam FC’s lead in the Vodacom Premier League to one point with a 3-0 win against Rhino Rangers in an exciting match yesterday.

 

10 years ago

TheCitizen

Mbeya City flop again as Yanga, Azam FC win

 After poor, shocking results in previous matches, the defending champions Azam Football Club and runners up Young Africans playing on home grounds regained their winning spirit after they emerged victorious in their matches in the ongoing Tanzania Mainland Premier League.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yamvuruga Loga

>Zikiwa zimesalia siku mbili kabla kuvaana na wapinzani wao Mbeya City, Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic ameingia hofu ya pambano hilo litakalopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani