Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK akana kuyumbishwa na kashfa za ufisadi

>Rais Jakaya Kikwete amesema haoni tatizo kwa vyombo vya habari kuandika kashfa zinazoibua mijadala kwenye jamii kwa kuwa yanasaidia uongozi kujirekebisha, lakini akaonya kuwa vyombo hivyo  vikitumia uhuru wao kuchochea chuki, vurugu na mifarakano, Serikali haitavumilia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa ufisadi CCM

SHULE za Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimekumbwa na taharuki baada ya bodi yake ya wadhamini kuwalazimisha wakuu wa shule hizo kulipa ada ya sh milioni 2.5...

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa nzito ya ufisadi Moshi

Inawezekana ikawa ni moja ya matumizi mabaya ya fedha za umma baada ya kubainika majengo mawili mapya ya ghorofa yaliyojengwa na Serikali ni hatari kwa usalama wa watumiaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchemba: Dk Magufuli hana kashfa ya ufisadi

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli hawezi kufananishwa na mgombea yeyote kwa rekodi ya utendaji na uadilifu wake kazini.

 

10 years ago

Raia Mwema

Tunataka Rais jasiri atakayefufua kashfa za ufisadi huu

RUSHWA na ufisadi ni mambo ambayo yametangaziwa vita na kila awamu ya serikali inayoingia madarak

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Africanjam.Com

RAISI WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA UFISADI



Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amejiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.Blatter alichaguliwa tena wiki iliopita licha ya maafisa wake saba wakuu kukamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi .
Lakini alisema kuwa mamlaka yake hayaungwi mkono na kila mtu. Shirikisho la FIFA lilikumbwa na mgogoro wa kukamatwa kwa maafisa wake...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Prof. Assad usikubali kuyumbishwa

RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Ludovick Utouh ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Profesa...

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AKANA KUCHUMBIWA

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, amepinga vikali taarifa kuwa ametolewa posa na msanii mwenzake, Bond Bin Sinan  na kusema kuwa kwa sasa hahitaji kuchumbiwa, wala bwana kwani hajaamua kwenda huko. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. Akikitendea haki kipaza sauti cha Ijumaa Wikienda, Wastara alisema anaona kuwa aliyeeneza habari hizo anamuwangia kwani hana wazo la kuchumbiwa kwa sasa....

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda akana kulialia

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Na Walter Mguluchuma, Katavi
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema yeye si kiongozi wa kulialia jambo ambalo linamfanya ashindwe kutoa maamuzi mbalimbali ya Serikali kama watu wengi wanavyodai.
Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, Pinda alisema kumekuwapo na watu wengi wanaobeza uwezo wake wa kiutendaji.
“Kumekuwa na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakibeza mimi sifai kuwa kiongozi kwa vile...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani