WASTARA AKANA KUCHUMBIWA
![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCxwmnwkNpKT*x2mwLx5MEOzjuLoLqgdHiUSHKkYzc6cFeNrDhQDeOPYNhtHwSXpw-k0dwAoH89C8pXo5cLFDWiR/wastara.jpg)
Stori: Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, amepinga vikali taarifa kuwa ametolewa posa na msanii mwenzake, Bond Bin Sinan na kusema kuwa kwa sasa hahitaji kuchumbiwa, wala bwana kwani hajaamua kwenda huko. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. Akikitendea haki kipaza sauti cha Ijumaa Wikienda, Wastara alisema anaona kuwa aliyeeneza habari hizo anamuwangia kwani hana wazo la kuchumbiwa kwa sasa....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3NWA6tWvjzVRiL0EIPp1DnIm4UewxDQDTQ0HTaf2ygPJvYtS4QAlqvWbMYECsrlNpx-iWe25dfZ10G95KSU4rIr/Mke.gif?width=650)
AMKIMBIA MUME, AENDA KUCHUMBIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zFcCN-7G-YFhLeU6ECoQirpo2uHKvO0Cvtuv1wK4FTJCbNJ4VE0tPfwjEU-MuEgiivfgSs*DL5vCM9hIp2LC6o/stockillustration21801338.gif)
ROSE NDAUKA AWATEGA WATU KUCHUMBIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z15JnCxxeN*ytEMsp7f3DQMX1LbJv53e1F0CH3UTqYudefKkNO5KjNt3J*anUp9fuis8DEPf4*oxwT8nxbxZNrZ/nicki_minaj_anaconda0315_rgb_howard_huang.jpg)
MAMA WA NICK MINAJ AKANUSHA MWANAYE KUCHUMBIWA
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Pinda akana kulialia
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda-300x197.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Walter Mguluchuma, Katavi
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema yeye si kiongozi wa kulialia jambo ambalo linamfanya ashindwe kutoa maamuzi mbalimbali ya Serikali kama watu wengi wanavyodai.
Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, Pinda alisema kumekuwapo na watu wengi wanaobeza uwezo wake wa kiutendaji.
“Kumekuwa na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakibeza mimi sifai kuwa kiongozi kwa vile...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Lulu akana kumuua Kanumba
MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amekana shitaka linalomkabili la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, aliyefariki dunia alfajiri ya Aprili 7, mwaka 2012. Licha ya kukana...
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Museveni akana njama ya urithi
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Hazard akana mvutano na Mourinho
10 years ago
Mtanzania28 Apr
JK akana njama za kummaliza Mengi
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na taarifa za kuhusishwa na mikakati ya kummaliza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi. Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya Dk. Mengi kudai kuwa kiongozi huyo wa nchi ameapa kupambana naye kama ilivyoripotiwa na moja ya magazeti ya kila wiki nchini.
Kauli ya Rais Kikwete ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa mambo...
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Gwajima akana kumtusi Pengo
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Mchungaji Josephat Gwajima, amekana kumtusi Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Gwajima alikana jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilfred Dyansobela, baada ya kusomewa maelezo ya awali ya kesi inayomkabili.
Akisoma maelezo hayo, Wakili wa Serikali Joseph Maugo, alidai mshitakiwa ni Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo katika viwanja vya Tanganyika...