Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA WA NICK MINAJ AKANUSHA MWANAYE KUCHUMBIWA

Mwanamuziki Nick Minaj. Siku chache baada ya staa wa muziki wa Pop, Tanya Maraj 'Nick Minaj' kuonyesha mtandaoni kidole chake kikiwa na pete ya uchumba, mama wa nyota huyo ameeleza kuwa binti yake huyo bado hajachumbiwa. Akizungumza na mtandao wa TMZ, mama huyo alieleza kuwa hata yeye alishtushwa na taarifa hizo lakini alipomuuliza binti yake alimhakikishia kuwa pete hiyo ni urembo. Nick Minaj akiwa na mama yake.
"Nimejaribu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nick Minaj mc wa MTV

Mwanamuziki wa mtindo wa kufokafoka Nicki Minaj atakuwa mc katika tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards.

 

10 years ago

CloudsFM

Meek Mill Atamani Nick Minaj Angekuwa Na Mimba

meek

“Anaconda” rapper, na msindi wa BET 2015 kama “Best Female Hip Hop Artist” na Philly rep rapper Meek Mill walionekana kimahaba na kufurahia penzi lao, kushikana mikono, kubusiana na wawili hao wapenzi wanaongolewa kwa sana baada ya Kanye na Kim K, Jay Z na Beyonce.

 
Sasa hivi mambo ni wazi sana kati ya wawili hawa, Jumatatu 6 wakati Meek Mill akifanya mahojiano kupitia Shade 45 na Dj Superstar Jay, Gray Rizzy na Kimmi Cupcakes.
“Nick Minaj hana mimba, lakini yeah, natamani, nilitweet...

 

9 years ago

Mtanzania

Meek Mill, Nick Minaj kufunga ndoa mwakani

nickimillNEW YORK, MAREKANI

BAADA ya Meek Mill kumvisha pete mpenzi wake Nick Minaj, wawili hao wamepanga kufunga ndoa mwakani.

Kupitia mtandao wa Instagram, mkali huyo wa hip hop, Minaj alisema kuvishwa pete ni dalili ya harusi kukaribia.

“Baada ya Mill kunivisha pete najua kwamba watu wana maswali mengi ambayo hayana majibu, lakini ukweli ni kwamba hii ni dalili ya harusi kukaribia.

“Nampenda sana Mill na ninaamini ananipenda na ndio maana amenivisha pete, kila kitu kitakuwa hadharani mwakani,...

 

9 years ago

Mtanzania

Stephen Brown afungwa jela kisa Nick Minaj

nicki-minajNEW YORK, Marekani

MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Stephen Brown, amejikuta akiswekwa jela miezi minne baada ya kupiga simu polisi akidai msanii mwenzake, Nick Minaj, ametaka kumuua.

Pombe zilimfanya Brown, mwenye miaka 24, apige simu kituo cha polisi na kudai mwanadada Nick Minaj alitaka kumuua, lakini polisi walipofika eneo la tukio wakamkuta akiwa peke yake amelewa.

Kutokana na kitendo hicho cha kuwasumbua polisi, Brown amehukumiwa kifungo cha jela kwa miezi minne.

 

11 years ago

CloudsFM

Audio: Ngoma mpya toka kwa Usher ft. Nick Minaj

Ingawa bado ngoma ya "Good Kisser" inaendelea kufanya poa kwenye media mbali mbali, siku ya jana (July 8) Usher amedondosha ngoma nyine mpya amabayo amemshirikisha Rapper Nick Minaj ngoma inakwenda kwa jina la She Came To Give It To You

 

10 years ago

Bongo5

Nick Cannon akanusha kuwa chanzo cha Amber Rose kuomba talaka kwa mumewe

Baada ya taarifa za Amber Rose kudai talaka kwa mumewe Wiz Khalifa, mume wa Mariah Carey, Nick Cannon ambao nao ndoa yao imevunjika, amekanusha uvumi kuwa yeye ndio chanzo cha Amber kuomba talaka. Nick Cannon ambaye kwasasa ndie meneja mpya wa kazi za Amber Rose, amedai kuwa hakuna kitu chochote zaidi ya kazi kinachoendelea kati […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani