Nick Minaj mc wa MTV
Mwanamuziki wa mtindo wa kufokafoka Nicki Minaj atakuwa mc katika tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z15JnCxxeN*ytEMsp7f3DQMX1LbJv53e1F0CH3UTqYudefKkNO5KjNt3J*anUp9fuis8DEPf4*oxwT8nxbxZNrZ/nicki_minaj_anaconda0315_rgb_howard_huang.jpg)
MAMA WA NICK MINAJ AKANUSHA MWANAYE KUCHUMBIWA
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Stephen Brown afungwa jela kisa Nick Minaj
NEW YORK, Marekani
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Stephen Brown, amejikuta akiswekwa jela miezi minne baada ya kupiga simu polisi akidai msanii mwenzake, Nick Minaj, ametaka kumuua.
Pombe zilimfanya Brown, mwenye miaka 24, apige simu kituo cha polisi na kudai mwanadada Nick Minaj alitaka kumuua, lakini polisi walipofika eneo la tukio wakamkuta akiwa peke yake amelewa.
Kutokana na kitendo hicho cha kuwasumbua polisi, Brown amehukumiwa kifungo cha jela kwa miezi minne.
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Meek Mill, Nick Minaj kufunga ndoa mwakani
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya Meek Mill kumvisha pete mpenzi wake Nick Minaj, wawili hao wamepanga kufunga ndoa mwakani.
Kupitia mtandao wa Instagram, mkali huyo wa hip hop, Minaj alisema kuvishwa pete ni dalili ya harusi kukaribia.
“Baada ya Mill kunivisha pete najua kwamba watu wana maswali mengi ambayo hayana majibu, lakini ukweli ni kwamba hii ni dalili ya harusi kukaribia.
“Nampenda sana Mill na ninaamini ananipenda na ndio maana amenivisha pete, kila kitu kitakuwa hadharani mwakani,...
10 years ago
CloudsFM09 Jul
Meek Mill Atamani Nick Minaj Angekuwa Na Mimba
“Anaconda” rapper, na msindi wa BET 2015 kama “Best Female Hip Hop Artist” na Philly rep rapper Meek Mill walionekana kimahaba na kufurahia penzi lao, kushikana mikono, kubusiana na wawili hao wapenzi wanaongolewa kwa sana baada ya Kanye na Kim K, Jay Z na Beyonce.
Sasa hivi mambo ni wazi sana kati ya wawili hawa, Jumatatu 6 wakati Meek Mill akifanya mahojiano kupitia Shade 45 na Dj Superstar Jay, Gray Rizzy na Kimmi Cupcakes.
“Nick Minaj hana mimba, lakini yeah, natamani, nilitweet...
11 years ago
CloudsFM09 Jul
Audio: Ngoma mpya toka kwa Usher ft. Nick Minaj
![](http://1.bp.blogspot.com/-q_qvYzyZkl0/U70G5Kj1r1I/AAAAAAAAFN4/KF3ZvzR73HI/s1600/Usher-n-Nicki.jpg)
Ingawa bado ngoma ya "Good Kisser" inaendelea kufanya poa kwenye media mbali mbali, siku ya jana (July 8) Usher amedondosha ngoma nyine mpya amabayo amemshirikisha Rapper Nick Minaj ngoma inakwenda kwa jina la She Came To Give It To You