Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK akana njama za kummaliza Mengi

reginald-mengiONE PK DATA BerichtNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na taarifa za kuhusishwa na mikakati ya kummaliza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi. Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya Dk. Mengi kudai kuwa kiongozi huyo wa nchi ameapa kupambana naye kama ilivyoripotiwa na moja ya magazeti ya kila wiki nchini.

Kauli ya Rais Kikwete ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa mambo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Akana njama ya kumuua Mugabe

Makamu wa Rais nchini Zimbabwe, anasema anachukua hatua za kisheria dhidi ya shirika la habari la kitaifa kwa kumhusisha na njama ya kumuua Rais Robert Mugabe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni akana njama ya urithi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepinga tuhuma kuwa anamuandaa mtoto wake kumrithi katika madaraka ya urais wa nchi hiyo wakati atakapostaafu.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Mengi akana kumiliki eneo kubwa la madini

MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za IPP Limited, Dk Reginald Mengi amekanusha kumiliki eneo kubwa la migodi. Akizungumza jana, Mengi alisema eneo analomiliki kwa ubia na Watanzania wenzake ni mgodi mmoja wa uchimbaji wa madini ya tanzanite lisilofikia hata kilometa moja ya mraba.

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake



Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.


Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.

Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Wema, Jokate waungana kummaliza Diamond


Ali mkiba jokate na wema (2)Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba ‘King Kiba’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.

Na Musa Mateja
WAREMBO ‘classic’ ambao ni zao la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu na Jokate Mwegelo wamedaiwa kuungana pamoja kumsapoti staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba ‘King Kiba’ ili kumfunika mpenzi wao wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Ali mkiba jokate na wema (1)Wema na Jokate ambao kwa nyakati tofauti waliwahi kulitumikia penzi la Diamond, Desemba 26, mwaka huu walipanda kwenye jukwaa la Kiba na kuanza kuonyesha uwezo wao wa...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA HIZI NDIZO ZILIZOTUMIA KUMMALIZA KIJANA KWA HUKUMU YA KIFO.

Mshukiwa na mlipoko wa bomu siku ya Boston Marathon ahukumiwa kifo picha hizi zilitumika kama ushaidi siku ya hukumu yake na hakimu wa kesi hiyo alisema kwa alama hizi za vidole anastahili hukumu ya kifo kwani hii ni kama kuwaonyesha Wamarekani kuwa hajari wala kujutia kosa lake.A still from a surveillance footage shows the moment Dzhokhar Tsarnaev flipped off a camera in his jail cell three months after his arrest. The image was first showed to jurors in his death penalty trial on Tuesday,...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI

She changed her name from Jacqueline Ntuyabaliwe to Jacqueline Mengi....... "Life isn't happening to you; life is responding to you."-this is her new tagline on Instagram 

 

5 years ago

BBCSwahili

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Mkewe Reginald Mengi adai kuzuiwa kuona kaburi la mumewe Tanzania

Mwaka mmoja baada ya kifo cha bilionea wa Tanzania Reginald Mangi, tayari kumeibuka mgogoro katika familia yake, baada ya mkewe Jacqueline Mengi kudai kwamnba amenyimwa kuona kaburi la mumewe.

 

10 years ago

Vijimambo

Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake


Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani