Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Museveni akana njama ya urithi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepinga tuhuma kuwa anamuandaa mtoto wake kumrithi katika madaraka ya urais wa nchi hiyo wakati atakapostaafu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

JK akana njama za kummaliza Mengi

reginald-mengiONE PK DATA BerichtNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na taarifa za kuhusishwa na mikakati ya kummaliza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi. Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya Dk. Mengi kudai kuwa kiongozi huyo wa nchi ameapa kupambana naye kama ilivyoripotiwa na moja ya magazeti ya kila wiki nchini.

Kauli ya Rais Kikwete ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa mambo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Akana njama ya kumuua Mugabe

Makamu wa Rais nchini Zimbabwe, anasema anachukua hatua za kisheria dhidi ya shirika la habari la kitaifa kwa kumhusisha na njama ya kumuua Rais Robert Mugabe.

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake



Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.


Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.

Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Urithi wa Mzee Sykes...

Wiki hii tasnia ya muziki nchini imepoteza mwanamuziki mkongwe, Ebby Sykes ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 62.

 

11 years ago

Habarileo

Urithi Selous hatarini

PORI la Akiba la Selous lenye ukubwa wa kilometa za mraba 50,000 limeingizwa katika orodha ya maeneo ya Urithi wa Dunia yaliyo hatarini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Chama cha Urithi wa wanawake Kenya

Je umewahi kusikia chama cha wanaume kuwarithi wajane?

 

11 years ago

Habarileo

Magofu Kilwa yarejeshewa Urithi wa Dunia

MAGOFU ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyokuwa yamewekwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ulio hatarini kutoweka, yamerudishiwa hadhi yake ya awali ya Urithi wa Dunia.

 

9 years ago

Mtanzania

Rais wa Gabon atoa urithi kwa umma

Gabon-Ali-Bongo-OndimbaNa Mwandishi Wetu, Mashirika ya Habari

RAIS wa Gabon, Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa sehemu kubwa ya urithi alioachiwa na marehemu baba yake, Omar Bongo kwa vijana wa taifa hilo.

“Kwa macho yangu, sote tu warithi wa Omar Bongo,” Rais alisema wakati akilihutubia taifa jana ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Kiasi rasmi cha urithi wa baba yake ambaye alitawala taifa hilo kwa miaka 41 hadi alipofia madarakani mwaka 2009, bado hakijajulikana, lakini ameripotiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Misitu ya tao la Mashariki iwe urithi wa dunia’

Shirika la Kuhifadhi Misitu (TFCG) limemwomba Rais Jakaya Kikwete kurejesha mchakato wa kuingiza misitu ya Tao la Mashariki katika urithi wa dunia ili ipewe kipaumbele katika uhifadhi wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani