Chama cha Urithi wa wanawake Kenya
Je umewahi kusikia chama cha wanaume kuwarithi wajane?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA(TAWLA) WAFUTURU NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA MWANA VINGUNGUTI JIJINI DAR.
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tWB7sjNaofE/U0VIj762stI/AAAAAAAFZdQ/sH5EIE5uvhg/s72-c/unnamed+(31).jpg)
mama salma kikwete azindua chama cha umoja wa wanawake wa mbagala
![](http://2.bp.blogspot.com/-tWB7sjNaofE/U0VIj762stI/AAAAAAAFZdQ/sH5EIE5uvhg/s1600/unnamed+(31).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1IfRW2mFTN0/U0VIkghLSXI/AAAAAAAFZdY/5AfztZ0mCaI/s1600/unnamed+(32).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-f28F4JQUn2k/U0VIlPl5HKI/AAAAAAAFZdw/hX-7me2ow1k/s1600/unnamed+(33).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-csf5Xt_ck2Q/VeWfyEtTt1I/AAAAAAAAADo/Ox8EyMDsAis/s72-c/10.jpg)
WANAWAKE WAASWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUKIPINGIA KURA CHAMA CHA MAPINDUZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-csf5Xt_ck2Q/VeWfyEtTt1I/AAAAAAAAADo/Ox8EyMDsAis/s640/10.jpg)
Akizungunguza na wanawake wa wa Kata ya Makolongoni Mbunge wa viti maalum mkoani Iringa Rose Tweve aliwataka wananchi kutobabaishwa na wapinzani kwani hawana nia njema na watanzania na kusema kuwa chama hicho kina misingi ya kutetea amani ya Nchi. "sisi sote ni wanawake niwaombeni sana tukipigie kura...
9 years ago
Michuzi30 Aug
Amina Karuma achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini
![](http://tff.or.tz/images/Canada.png)
11 years ago
MichuziSerikali kuendelea kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA)
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake kutokata tamaa katika kuwahudumia wajawazito nchini.
Katika hotuba yake iliyosomwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif Rashid katika uzinduzi wa Kongamano la 23 la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama Chama Cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA).
Kongamano hilo la siku tatu lilianza juzi na linamalizika leo, Dar es salaam ambapo Pinda alisema kuwa...
Katika hotuba yake iliyosomwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif Rashid katika uzinduzi wa Kongamano la 23 la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama Chama Cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA).
Kongamano hilo la siku tatu lilianza juzi na linamalizika leo, Dar es salaam ambapo Pinda alisema kuwa...
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA (TAWLA) CHAZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 TANGU KIANZISHWE
10 years ago
GPLMKUTANO MKUU WA SABA WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA (TAWJA), WAFANYIKA JIJINI DAR
 Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo.  Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam jana. Mkutano huo ulihudhuriwa na wanachama kutoka mikoa yote.…
10 years ago
GPLCHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA (TAWLA) CHAZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 TANGU KIANZISHWE
 Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chama cha Wanawake Wanasheria  Tanzania (TAWLA), Margareth Ringo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa, katika maadhimisho ya miaka 25 ya kujengea uwezo na kufanya uchechemuzi juu ya haki ya wanawake. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA, Tike Mwambipile na Mjumbe wa Baraza la TAWLA, Annmarie Mavenjina. ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania