Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mama salma kikwete azindua chama cha umoja wa wanawake wa mbagala

   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live    Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua nembo wakati wa  uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi komputa Mwenyekiti wa UWAMBA, Zenna Hanga kwa ajili ya matumizi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UMOJA WA VIKUNDI VYA WAMA KATIKA WILAYA YA KINONDONI

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi umoja wa vikundi vya wama katika Wilaya ya Kinondoni katika sherehe ya kufana iliyofanyia kwenye Chuo cha Usafirishaji tarehe  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akisoma maandishi baada ya kuzindua rasmi umoja wa vikundi vya wama katika Wilaya ya Kinondoni katika sherehe ya kufana iliyofanyia kwenye Chuo cha Usafirishaji tarehe   Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya  mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara vifaa  vya kupima saratani hiyo. Pichani Mama Salma Kikwete...

 

11 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA UWAMBA DAR LIVE LEO

Mama Salma Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa vikundi Mbagala (UWAMBA) katika Ukumbi wa Dar Live leo. Wanawake wa Mbagala wakimsikiliza kwa makini Mama…

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA WIKI YA CHANJO DUNIANI MKOANI KILIMANJARO

Mama Salma Kikwete akiandaa kuzinmdua utoaji wa chanjo kwa mtoto katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya Mandela mjini Moshi. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa chanjo ya matone kwa mtoto Ahmad Saleh kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo duniani katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi.
Kwa  picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE HUKO TARIME

. Mama Salma Kikwete akitoa hotua ya uzinduzi rasmi wa Shule ya Sekondari ya J.K.Nyerere katika Kijiji cha Myamwaga kilichoko Mkoani Mara.
 Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga. Mama Salma Kikwete baada ya kukata utepe hapa anakiondoa kitambaa kukamilisha sherehe ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo.  Mke wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani