Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE HUKO TARIME

. Mama Salma Kikwete akitoa hotua ya uzinduzi rasmi wa Shule ya Sekondari ya J.K.Nyerere katika Kijiji cha Myamwaga kilichoko Mkoani Mara.
 Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga. Mama Salma Kikwete baada ya kukata utepe hapa anakiondoa kitambaa kukamilisha sherehe ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo.  Mke wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGONGO HUKO LINDI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ngongo iliyoko Lindi Mjini tarehe 27.8.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia unga wa Muhogo wakati alipotembelea kwenye kiwanda cha kusindika unga huo kinachomilikiwa na  Tawi la Mkumbara katika Kata ya Jamhuri tarehe 27.8.2014.Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MANDERA

Mke wa Rais na Mlezi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera akisalimiana na baadhi ya walimu wa Shule hiyo mara alipowasili shuleni hapo kwa ziara ya siku moja tarehe 10.5.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera Ndugu Rose Ummy (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ndugu Ahmed Kipozi (kulia) na wageni wengine wakitembelea maeneo mbalimbali ya shule hiyo. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatilia jaribio la somo la...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN NYERERE HUKO MSASAN

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya Marehemu John Nyerere, mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tarehe 9.5.2015. Shughuli ya kuaga mwili wa marehemu John imefanyika nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere huko Msasani jijini Dar es Salaam leo.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Maria Nyerere mara baada ya shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu John Nyerere huko Msasani...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA WAMA SHARAF HUKO LINDI


 Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiondoa kitambaa kwa kushirikiana na Bwana Ibrahim Sharaf aliyefadhili ujenzi wa Shule ya Wasichana ya WAMA Sharaf ikiwa ni ishara ya kuizindua rasmi. Baadaye Rais Dkt. Kikwete akishirikiana na viongozi wengine walisaidia ujenzi wa shule hiyo kukata utepe ikiwa ni mwendelezo wa sherehe za ufunguzi rasmi wa shule hiyo huko Lindi tarehe 11.10.2015. Rais Dkt. Jakaya Kikwete akitoa tunzo maalum kwa Kampuni ya Sharaf Group ya Dubai kwa msaada wao wa kujenga shule hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

LINDI | MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 15.3.2015 kuanza ziara ya kikazi ya siku 5 kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo wakati akiwahutubia mamia ya wana CCM na wananchi wa Lindi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA TAMASHA LA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo akimpokea Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete wakati alipowasili kwenye uwanja wa mpira wa Shule ya Sekondari Nyamisati iliyoko wilayani Rufiji kwa helicopter tarehe 2.5.2015. Mama Salma alikwenda Rufiji kwenye tamasha la Elimu ya Afya ya Uzazi kwa vijana katika Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama ambayo inamilikiwa na Taasisi ya WAMA ambapo Mkuu wa Mkoa wa Pwani alikuwa Mgeni Rasmi.Mke wa Rais...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZURU LINDI/ AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA LINDI MANISPAA, AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 15.3.2015 kuanza ziara ya kikazi ya siku 5 kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Kata ya Tulieni Mjini Lindi wa Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani