Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA UWAMBA DAR LIVE LEO

Mama Salma Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa vikundi Mbagala (UWAMBA) katika Ukumbi wa Dar Live leo. Wanawake wa Mbagala wakimsikiliza kwa makini Mama…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya  mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara vifaa  vya kupima saratani hiyo. Pichani Mama Salma Kikwete...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia haliMbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitaliya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yaoni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktarikatika wodi hiyo.
PICHA NA IKULU

 

11 years ago

Michuzi

Mama Salma Kikwete atembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam leo

 Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akitembelea leo  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia  ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke,  Sophia Mjema. Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akipata  maelezo  leo   kuhusu bidhaa  mbalimbali  kutoka kwa Bi mkubwa  Juma kwenye banda la Zanzibar  katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kushoto  ni  Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR LEO

Mama Salma akipungia washiriki wa matembezi wakati wakiwasili viwanja vya Mnazi MmojaWanawake wa Tanzania leo Jumapili Machi 8, 2015, wameungana na wenzao Duniani kote, kusherehekea siku ya Wanawake Duniani. Kitaifa sherehe hiyo imefanyika mkoani Morogoro, wakati jijini Dar es Salaam, wanawake kutoka wizara, taasisi za umma, halmashauri zote za jiji pamoja na vikundi vya wajasiriamali, walishiriki matembezi kutoka jengo la Ushirika barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, hadi viwanja vya...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE HUKO TARIME

. Mama Salma Kikwete akitoa hotua ya uzinduzi rasmi wa Shule ya Sekondari ya J.K.Nyerere katika Kijiji cha Myamwaga kilichoko Mkoani Mara.
 Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga. Mama Salma Kikwete baada ya kukata utepe hapa anakiondoa kitambaa kukamilisha sherehe ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo.  Mke wa...

 

11 years ago

Michuzi

mama salma kikwete azindua chama cha umoja wa wanawake wa mbagala

   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live    Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua nembo wakati wa  uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi komputa Mwenyekiti wa UWAMBA, Zenna Hanga kwa ajili ya matumizi...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA WIKI YA CHANJO DUNIANI MKOANI KILIMANJARO

Mama Salma Kikwete akiandaa kuzinmdua utoaji wa chanjo kwa mtoto katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya Mandela mjini Moshi. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa chanjo ya matone kwa mtoto Ahmad Saleh kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo duniani katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi.
Kwa  picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani