Serikali kuendelea kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA)
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake kutokata tamaa katika kuwahudumia wajawazito nchini.
Katika hotuba yake iliyosomwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif Rashid katika uzinduzi wa Kongamano la 23 la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama Chama Cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA).
Kongamano hilo la siku tatu lilianza juzi na linamalizika leo, Dar es salaam ambapo Pinda alisema kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBENKI YA STANBIC TANZANIA YAKABIDHI MILIONI 30/= KWA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT).
10 years ago
Dewji Blog03 Mar
MCT yaahidi kushirikiana na chama cha mablogger Tanzania (TBN)
Baadhi ya bloggers wakipiga picha ya ukumbusho na mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mkajanga (wa tano kulia) katika hafla ya kihistoria ya TBN iliyokutanisha bloggers kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Visiwani.
Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini, Muhidin Issa Michuzi (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika juzi Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.
11 years ago
MichuziCHAMA CHA MADAKTARI WANAFUNZI TANZANIA CHATOA HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR
Mratibu wa mtadi wa kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu Mr. Siraji M. Mtulia akitoa maelezo mafupi ya mradi huo utakaoanza kutekelezwa leo na Chama cha wanafunzi Madaktari Tanzania wakishikiana na Wizara ya Afya Zanzibar. Mkuu wa CHUO cha (IMTU)...
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
10 years ago
MichuziProfesa Mwandosya afungua mkutano wa 47 wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) mjini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalum Prof Mark Mwandosya akisisitiza jambo kwenye mkutano wa mkuu wa 47 wa chama cha madaktari unaofanyika kwa siku 2 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Dodoma.Madaktari ambao ni wajumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) wakifuatilia jambo katika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma walipokuwa kwenye mkutano wao wa 47Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalum Prof Mark Mwandosya na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Kebwe Stevin Kebwe wakiwa...
5 years ago
MichuziCHAMA CHA NCCR-MAGEUZI WAPO TEYARI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHOCHOTE KATIKA UCHAGUZI WA 2020
Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiCHAMA cha NCCR-Mageuzi kipo tayari kushirikiana na chama chochote kwa kuzingatia maslahi ya mapana ya Tanzania nakuzingatia utaratibu unaokubalika kikatiba na kisheria katika mchakato wote wa kushiriki uchaguzi Mkuu wa 2020.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Madaktari bingwa waitesa Serikali
Makao makuu Wizara ya Afya
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.
Hadi sasa madaktari bingwa waliopo nchini ni watano hali inayowalazimu kufanya kazi kuliko uwezo wao, kwa mujibu wa taaluma ya upasuaji.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Tiba ya Upasuaji wa Mifupa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema hadi sasa kuna madaktari bingwa watano tu wa...
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya Corona: Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania aiambia BBC kuwa mfumo wa afya haujaelemewa
5 years ago
MichuziSERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA
Na.WAMJW,Dar es Salaam.
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati akipokea andiko na mpango mkakati wa Asasi za Kiraia(AZAKI) kuhusu janga la COVID -19 nchini.
Naibu Waziri Ndugulile alisema AZAKI pamoja na wananchi wanao wajibu wa...