Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urithi wa Mzee Sykes...

Wiki hii tasnia ya muziki nchini imepoteza mwanamuziki mkongwe, Ebby Sykes ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 62.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Mzee Sykes enzi za uhai wake. Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake. Baba…

 

10 years ago

Vijimambo

BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.

 

10 years ago

CloudsFM

Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes

Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mzee Ebby Sykes afariki dunia

Sykes+3

Baba mzazi wa msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki (pichani) dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Kwa mujibu wa binti yake Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Raya katika ukurasa wake huo aliandika ‘Mungu akulaze mahala pema peponi baba angu mimi nilikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi….nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika. Ulikuwa ni mtu mwenye upendo na kila mtu alikupenda, nakupenda sana baba...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MZEE SYKES NA MKE WA MSANII KITIME

RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MKE WA MWANAMUZIKI JOHN KITIME NA BABA YAKE MSANII DULLY SYKES Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2014. Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes,...

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA MZEE EBBY SYKES KUFANYIKA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Ebby Sykes enzi za uhai wake. MAZISHI ya mwanamuziki mkongwe nchini ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes, Ebby Sykes yatafanyika leo saa 10 jioni katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mzee Sykes alifariki dunia jana mchana akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyopelekea kueneza sumu katika mwili wake na...

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia

Baba mzazi wa Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki dunian akiwa na umri wa miaka 62. Angetimiza miaka 63 February 24. Mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kwenye mtandao wa Instagram. “Mungu akulaze mahali pema peponi baba angu mm nilikupenda lakin mungu alikupenda zaid nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika!ulikua ni mtu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani