Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Mengi akana kumiliki eneo kubwa la madini

MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za IPP Limited, Dk Reginald Mengi amekanusha kumiliki eneo kubwa la migodi. Akizungumza jana, Mengi alisema eneo analomiliki kwa ubia na Watanzania wenzake ni mgodi mmoja wa uchimbaji wa madini ya tanzanite lisilofikia hata kilometa moja ya mraba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mengi atetea wazawa kumiliki gesi

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amesema hoja kwamba Watanzania hawana mtaji wa kumiliki vitalu vya gesi si sahihi kwa kuwa gesi yenyewe ni mtaji wa kutosha kwa Watanzania.

 

10 years ago

Mtanzania

JK akana njama za kummaliza Mengi

reginald-mengiONE PK DATA BerichtNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na taarifa za kuhusishwa na mikakati ya kummaliza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi. Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya Dk. Mengi kudai kuwa kiongozi huyo wa nchi ameapa kupambana naye kama ilivyoripotiwa na moja ya magazeti ya kila wiki nchini.

Kauli ya Rais Kikwete ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa mambo...

 

9 years ago

Michuzi

NI MARUFUKU WATOTO KUMILIKI LESENI ZA MADINI

Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kati Singida, Sosthenes Masolla (aliyesimama), akifungua semina kwa wachimbaji wadogo wa madini kuhusu mfumo mpya wa huduma za utoaji wa leseni za madini kwa njia ya mtandao. Semina hiyo ilifanyika mjini Singida Septemba 5, mwaka huu. Wengine pichani ni wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Kutoka kushoto ni Placid Kabyemera, Juma Masoud, Mhandisi Nuru Shabani, Mhandisi Gabriel Senge na Tantao Tantao.  Sehemu ya washiriki wa semina kuhusu matumizi...

 

10 years ago

Michuzi

uhaba wa walimu na watalamu wa kundisha namna ya ukataji vito na madini ni tatizo kubwa katika sekta ya madini

Na Woinde Shizza,Arusha
Sekta ya madini nchini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa walimu na wataalamu wa kufundisha namna ya ukataji wa vito vya madini hali inayosababisha kuuzwa kwa madini ghafi nje ya nchi na kupelekea kuuzwa kwa bei ya chini na pesa nyingi kwenda nje ya nchi .
Hayo yameelezwa na mratibu wa kituo cha Jimolojia Tanzania,Musa Shanyangi wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituo hicho kinachotoa mafunzo ya ukataji madini ya vito,ambapo wameanza...

 

10 years ago

GPL

HALI ILIVYOKUWA ENEO LA SINZA-AFRIKA SANA BAADA YA KUNYESHA MVUA KUBWA JANA

Wananchi wakivushwa na lori eneo la Sinza-Afrika lililojaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana. Magari yakipita kwa tabu eneo hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendea kunyesha. (Picha na Makongoro Oging /…

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAGARI YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA

 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.  Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru  Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji  Wakandarasi wakijadiliana jambo ili kuweza kupata ufumbuzi  Umati wa wasafiri wakiwa wanashangaa jinsi barabara ilivyozuiwa na maji Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara Magari zaidi ya 300 yamekwama mda huu eneo la hedaru...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani