Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMKIMBIA MUME, AENDA KUCHUMBIWA

Mwandishi Wetu MAJANGA! Mwanadada Elizabeth Kinyami mkazi wa Kibaha mkoani Pwani amedaiwa kumtoroka mumewe, Robert Nassor na kwenda Tanga kuchumbiwa na mwanaume mwingine, Risasi Mchanganyiko limetonywa.  Elizabeth Kinyami anayedaiwa kumtoroka mumewe. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini Robert alifiwa na mkewe wa kwanza ambaye alizaa naye watoto wawili, lakini wakati akiwa naye, alikuwa akichepuka na Elizabeth, hivyo baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mke amkimbia mume kingono

Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo kwa mumewe.

 

10 years ago

Bongo Movies

FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.

Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.

Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AKANA KUCHUMBIWA

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, amepinga vikali taarifa kuwa ametolewa posa na msanii mwenzake, Bond Bin Sinan  na kusema kuwa kwa sasa hahitaji kuchumbiwa, wala bwana kwani hajaamua kwenda huko. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. Akikitendea haki kipaza sauti cha Ijumaa Wikienda, Wastara alisema anaona kuwa aliyeeneza habari hizo anamuwangia kwani hana wazo la kuchumbiwa kwa sasa....

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AWATEGA WATU KUCHUMBIWA

Stori: Mayasa Mariwata
MTOTO mzuri Bongo Movies, Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa. Mtoto mzuri Bongo Movies, Rose Ndauka. Mara baada ya paparazi wetu kuiona picha hiyo iliyozua mjadala mkubwa mtandaoni, alimtafuta Rose na kumtaka afunguke kama amechumbiwa upya baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba’ke,...

 

10 years ago

GPL

MAMA WA NICK MINAJ AKANUSHA MWANAYE KUCHUMBIWA

Mwanamuziki Nick Minaj. Siku chache baada ya staa wa muziki wa Pop, Tanya Maraj 'Nick Minaj' kuonyesha mtandaoni kidole chake kikiwa na pete ya uchumba, mama wa nyota huyo ameeleza kuwa binti yake huyo bado hajachumbiwa. Akizungumza na mtandao wa TMZ, mama huyo alieleza kuwa hata yeye alishtushwa na taarifa hizo lakini alipomuuliza binti yake alimhakikishia kuwa pete hiyo ni urembo. Nick Minaj akiwa na mama yake.
"Nimejaribu...

 

10 years ago

GPL

MAMA DIAMOND AMKIMBIA ZARI

KWELI maisha si popote! Msemo huu wenye kinyume na ule usemao maisha ni popote umedhihirika baada ya hivi karibuni mapaparazi wetu kutonywa kuwa, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim amekuwa akimkimbia mkaza mwanaye,  Zarinah Hassan ‘mama Tiffah’ ndani na kwenda kukaa nje kutokana na Zari kujikita sana kwenye mitandao ya kijamii hivyo kutokuwa na mawasiliano Soma...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMKIMBIA MENEJA

Shani Ramadhani NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kumkimbia meneja wake, Alex Msama licha ya kuwepo kwa makubaliano kati yao yaliyohusu kulipiwa deni la kiasi cha shilingi milioni sita alizokuwa akidaiwa msanii huyo mwenye jina kubwa ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1f2ceDX

 

11 years ago

GPL

JERRY SLAA AMKIMBIA MKEWE

Na Musa Mateja MEYA wa Ilala, Jerry Slaa ameonyesha kituko cha aina yake kwa kumkiambia mkewe baada ya kuona nyoka akielekezewa upande alipokuwa ameketi. Meya wa Ilala, Jerry Slaa ndani ya Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar, ambapo Slaa alikuwa amealikwa kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za Watu ndipo alipoambatana na mkewe huyo.…...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AMKIMBIA MUMEWE, KISA MFUNGO

Stori: Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi. Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka katika pozi. Akipiga stori na Ijumaa, Rose alisema amelazimika kwenda nyumbani kwao ili kumpisha mumewe atimize nguzo hiyo ya Uislam bila kipingamizi kutokana na kutokufunga ndoa.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani