KASHFA YA IPTL
Kafulila aikwepa TAKUKURU
Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ameshindwa kuwasilisha ushahidi wake kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuhusiana na kashfa ya malipo yaliyofanywa na Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow.
Kafulila aliibua tuhuma hizo huku akiwatuhumu baadhi ya mawaziri na watendaji wa serikali, ambapo mara kadhaa serikali imekuwa ikitoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo.
Hata hivyo, serikali ilitangaza kukabidhi...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Kashfa IPTL utata mtupu
WAKATI Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), akitamba kuendelea kupiga kelele hadi fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Escrow zirudishwe, suala hilo linazidi kugubikwa na utata, Tanzania Daima Jumatano limebaini....
10 years ago
Mtanzania23 Oct
Pinda: Kashfa IPTL imetia doa Serikali
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imetiwa doa na kashfa ya IPTL ambapo zaidi ya Sh bilioni 200 zinadaiwa kuchotwa kwenye akaunti maalumu ya ‘Tegeta Escrow’, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Pinda ambaye yupo jijini London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika na wawekezaji wa Ulaya, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Shirika la...
10 years ago
VijimamboMbinu za kuzuia mjadala kashfa IPTL zafichuliwa
Mkanganyiko mkubwa umeibuka mjini hapa kwamba serikali inafanya kila njia kuzuia taarifa ya sakata la IPTL la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kujadiliwa bungeni.
Habari za mkakati huo zilitangazwa jana na wabunge watatu wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Tundu Lissu (Chadema) na Mohamed Habib Mnyaa (Cuf), walipozungumza na waandishi wa habari wakidai kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania...
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Kashfa ya IPTL, Uchaguzi Mkuu 2015 vyashusha thamani ya Shilingi
11 years ago
Habarileo21 Dec
Padri akumbwa na kashfa
KANISA Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini hapa, akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja.
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Kashfa ya Escrowtageta yafukuta TZ
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Kashfa nzito Tafico
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeingia katika kashfa nzito ya kudaiwa kutafuna zaidi ya sh milioni 200 za kujenga ukuta wa kuzuia kuanguka kwa jengo la lililokuwa Shirika...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Kashfa ufisadi CCM
SHULE za Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimekumbwa na taharuki baada ya bodi yake ya wadhamini kuwalazimisha wakuu wa shule hizo kulipa ada ya sh milioni 2.5...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Kashfa ya ajira TFDA
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeingia kwenye kashfa ya kumwajiri mtumishi asiye na cheti cha kitaaluma kuwa msaidizi wa maabara ya dawa kuanzia Desemba 2, 2013. Mkurugenzi wa...