Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbinu za kuzuia mjadala kashfa IPTL zafichuliwa


Mkanganyiko mkubwa umeibuka mjini hapa kwamba serikali inafanya kila njia kuzuia taarifa ya sakata la IPTL la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kujadiliwa bungeni.

Habari za mkakati huo zilitangazwa jana na wabunge watatu wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Tundu Lissu (Chadema) na Mohamed Habib Mnyaa (Cuf), walipozungumza na waandishi wa habari wakidai kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

KASHFA YA IPTL


Kafulila aikwepa TAKUKURU

Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ameshindwa kuwasilisha ushahidi wake kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuhusiana na kashfa ya malipo yaliyofanywa na Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow.
Kafulila aliibua tuhuma hizo huku akiwatuhumu baadhi ya mawaziri na watendaji wa serikali, ambapo mara kadhaa serikali imekuwa ikitoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo.
Hata hivyo, serikali ilitangaza kukabidhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa IPTL utata mtupu

WAKATI Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), akitamba kuendelea kupiga kelele hadi fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Escrow zirudishwe, suala hilo linazidi kugubikwa na utata, Tanzania Daima Jumatano limebaini....

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Kashfa IPTL imetia doa Serikali

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imetiwa doa na kashfa ya IPTL ambapo zaidi ya Sh bilioni 200 zinadaiwa kuchotwa kwenye akaunti maalumu ya ‘Tegeta Escrow’, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Pinda ambaye yupo jijini London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika na wawekezaji wa Ulaya, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Shirika la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbinu mpya ya kutibu neti za kuzuia mbu

Njia mpya ya kutia dawa za kuua mbu kwenye vyandarua imefanikiwa kwa 100% katika kukabili baadhi ya aina za mbu kwa mujibu wa ripoti ya kimataifa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbinu sita za kuzuia meno kutoboka, kuoza

TUANZE makala yetu na kifungua mada kutoka kwa washkaji wawili wakijadili jambo fulani na kutuachia ujumbe fulani. Mshikaji 1: Kwenye haya mashindano ya kuharibu afya zao, kinamama na kinababa nani...

 

10 years ago

Mwananchi

Siyantemi aja na mbinu mpya kuzuia uhalifu

Mtumishi wa CCM katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Amos Siyantemi, amesema idadi kubwa ya Watanzania wameanza kupoteza imani kwa Serikali na kuendelea kuamini kuwa chama hicho hakijali wanyonge.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbinu mpya ya kuzuia wizi wa mafuta-Nigeria

Shirika la mafuta la Nigeria litatumia ndege zisizo na rubani kufuatilia safari za meli katika juhudi za kuzuia wizi wa mafuta

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shambuzi la Jaji Warioba ni mbinu ya CCM kuzima mjadala wa Katiba

UKIANZA na uwongo lazima kuendelea kuusema hadi mwisho. Wataalamu husema kwamba “kuulinda uwongo ni gharama kubwa sana.” Mchakato wa katiba haramu ya CCM ulianza na fitina, vitisho na uwongo na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa ya IPTL, Uchaguzi Mkuu 2015 vyashusha thamani ya Shilingi

Hatua ya wahisani kuzuia Sh1 trilioni za misaada ya kibajeti kwa Serikali kutokana na kashfa ya IPTL na wasiwasi wa Uchaguzi Mkuu mwakani, ni miongoni mwa sababu za kuporomoka kwa kasi thamani ya Shilingi nchini, imefahamika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani